Recent content by kilaki

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa ashindwa kung'ara Shinyanga

    tangu lini chadema wakafanya manjonjo???????????? hapa kazi tu kaka hakuna cha marlow hadija kopa wala mzee komba. pia hakuna kucheza disco na wajane.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tarehe 02/11/2012 UAMSHO watangaza kufanya maandamano nchi nzima

    hao watu vichwa maji wote na hawana maana.polesi kamata wote na sheria ifanye kazi yake.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kiume

    niambie jinsi ya kuonana jimamama,am 24.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kiume

    Umenipata niambie tunaonanaje?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

    Dr. Jk ongea na wazee wa dsm haraka.nadhani hii ni adhabu ya kuchoma makanisa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Madactari tuhamie kusini.

    anayemchukia dr. ni mwendawazimu na atagundua ujinga wake pindi atakapo ugua.naamini hata wewe siku sio nyingi utajutia maneno yako.mungu akusamehe bure maana hujui utendalo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    acheni mawazo finyu.najua wengi mlitaka alipotaka tu hospitali aanze kubwabwaja maneno kuhusu yaliyomsibu na wahusika.kimsingi hii isingesaidia chochote zaidi ya kuuza magazeti na kuipa serikali mwanya wakufukia ushahidi.kwakulitambua hili dr.aliona ni vyema kukaa na wanasheria na kuandaa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    acha mawazo finyu kaka,ishu kama hii lazima ujipange kisheria na sio kukurupuka ili kuwaridhisha wauza gazeti.its a war against state so umakini unahitajika.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

    these guys are totaly out of their minds.ukristo unawazuia nini? au tunawapa hasara gani???????????? kama umaskini wanautaka wenyewe kwa kuoa wanawake saba na kuzaa watoto bila kujua wataishi vipi.kuchoma makanisa kutawasaidia kutatua matatizo yao au ni wendawazimu tuu???????????????
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nini mantiki ya Kikwete kutoa sanduku la Zanzibar kwa Harper badala ya alama ya Tanzania?

    anapima tension ya jamaa wa uamsho.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sumaye kupasua bomu...

    nasema hakuna urais hapa! apewe kadi na awe mwanachama ila no chance to be a leader coz hana atakachotufanyia.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutoswa, Sumaye sasa ateta na viongozi wa CHADEMA

    nasema apewe kadi kama yangu ila uongozi nooooooooooooooooooo.asije kutusababishia matokeo kama ya chama cha dovutwa 2010.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Spika Anna Makinda kila kukicha safari

    naamini katika kila familia yale apendayo baba ndio hufanywa na wanafamilia.vivyo hivyo kwa serikali inayoongozwa na dhaifu the traveller sishangai kuona viongozi wengine wa ngazi za juu wakihudhuria hata birthday za mahouse girl wa viongoz wa ulaya.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Dr Jakaya au Dr Slaa nani Maarufu?

    huu ni upuuzi sawa na kulinganisha mbingu na ardhi.kikwete mlinganishe na wasanii wenzie kama rick rose,watu wa mipasho,diamond na masharobaro wengine.mzee slaa alinganishwe na wachapa kazi kama zitto,mzee wa miundo mbinu,tindu lisu,lema jj mnyika na mbowe.hapo italeta maana. kwanza unawajua...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Polisi waua tena

    yale,yale tuliyozoea.mnaua nyie,mnachunguza nyie kwa tume yenu na mnatoa hukumu nyia na zaidi ya hayo nyie ndio watekelezaji wa hukumu.kichekesho kweli kweli.:A S embarassed:
Back
Top Bottom