Kati ya Dr Jakaya au Dr Slaa nani Maarufu?

Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;


FacebookTwitterTotal popularity
Dr Kikwete (President)43, 724 likes36,038 Followers79,762
Dr Wilbrod Slaa42,388 likes8,370 Followers50,758





Source: facebook.com and twitter.com

Kwa maana hiyo watanzania bado wanaimani kubwa sana na Mh. Dr Jakaya Kikwete.

Nawasilisha hoja!

Yawezekana nawewe ni dhaifu kama yeye, taja umaarufu kwenye kuanguka jukwaani?
 
hahahahah!! Je ingekuwa ni Dr Slaa anaongoza ungeniita dhaifu?

Hujataja kwenye umaarufu upi, kuhudhuria mazishi? kucheka cheka kwenye speach?, kwenye nini? ndo maana tunaanza kujiuliza kwenye kukwidwa kwenye majukwaa mfano kule mwanza? hujaeleweka mkuu!
 
Hujataja kwenye umaarufu upi, kuhudhuria mazishi? kucheka cheka kwenye speach?, kwenye nini? ndo maana tunaanza kujiuliza kwenye kukwidwa kwenye majukwaa mfano kule mwanza? hujaeleweka mkuu!
Hiyo siyo sababu, mi nachokiona hapo ni suala la wasomi kutokuona mchango wa JK. Ni dhahiri kama hizi figure zingekuwa zinasema Dr Slaa anaongoza, maneno yangekuwa tofauti. Najua wengi Dr JK mmemchoka, ila nadhani wengi wenu hamumuelewi anachokifanya, ila ipo siku mtakuja kumuelewa!
 
JK anaonekana anakufaidi sana kwa udoctor wake feck. Subiri tu utajionea ni kwa jinsi gani watanzania tumechoshwa. Siku sii nyingi nchi itaongozwa na Dr. wa ukweli. Hao feck wanamaliza ufeck wao soon!
 
Dr.Slaa halingani na JK hata kidogo kwa umaarufu wa uadilifu.Labda ule umaarufu mwingine.
 
Bila shaka mtoa mada na hao waliopiga kura katika mitandao hiyo mna upeo mdogo katika kufanya utafiti. Statement yako ipo too general hivyo unatatakiwa uwe specific umaarufu katika lipi. Hata hivyo JK siyo Dr hivyo ni dharau kubwa kumlinganisha na DR wa ukweli (SLAA).
 
hizo ni takwimu zako na familia yako, maana ni chini ya robo ya watanzania waweza kuvutiwa na utendaji wa Dr wako kikwete

Dada ahsante kumbe tupo pamoja! Magamba lazima tuyatoe with no apology!
 
Ushabiki ni kitu cha ajabu sana kubishana na ukweli ulio wazi yataka moyo!!!!!!!!!!!!!!!:rant::closed_2::closed_2:
 
Ushabiki ni kitu cha ajabu sana kubishana na ukweli ulio wazi yataka moyo!!!!!!!!!!!!!!!:rant::closed_2::closed_2:

Umeona na wewe! Hizi takwimu zingekuwa zinamuonesha Dr Slaa yupo juu ungesikia hizo. ...peoples......!! Ila sasa tunasema kidumu....
 
huu ni upuuzi sawa na kulinganisha mbingu na ardhi.kikwete mlinganishe na wasanii wenzie kama rick rose,watu wa mipasho,diamond na masharobaro wengine.mzee slaa alinganishwe na wachapa kazi kama zitto,mzee wa miundo mbinu,tindu lisu,lema jj mnyika na mbowe.hapo italeta maana.
kwanza unawajua vizuri watumiaji wa fb ni watu wa aina gani?????????
wote wasanii kasoro wachache sana wenye majukumu yao na ninaimani ndio waliolike slaa.
 
Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;


FacebookTwitterTotal popularity
Dr Kikwete (President)43, 724 likes36,038 Followers79,762
Dr Wilbrod Slaa42,388 likes8,370 Followers50,758





Source: facebook.com and twitter.com

Kwa maana hiyo watanzania bado wanaimani kubwa sana na Mh. Dr Jakaya Kikwete.

Nawasilisha hoja!

Kikwete kweli ni MAHARUFU kuliko Dr. Wilbroad Slaa.
1.Kikwete kapiga picha na 50cent, Boys2men,NaomiCampbell,David Bekham, Steven Seagal na wengineo ilhali Slaa sina uhakika kama anawafahamu hao watu MUHIMU Tanzania na duniani.
2. KJ ni MAHARUFU kuliko Dr.Slaa kwa kupanda ndege mara nyingi zaidi na kutembelea sehemu nyingi za KIMAENDELEO kama vile kubembea kule Jamaica, Kupanda mkokoteni wa farasi kule kanada, kutembelea kilimo cha MANANASI Ghana wakati Slaa hajui hayo yote, Kupewa jearsy no.12,e.t.c
3. Kj ni MAHARUFU kuliko Dr.Slaa kwa kuwa na roho NZURI, wakati Dr. Slaa amefichua ufisadi na KUKOMALIA mafisadi washughulikiwe, Kj kwa kutumia UTU aliwapotezea kiaina kwa kujua kuwa ni upepo tu ungepita kuliko kuwachukulia hatua ambapo uchumi wa nchi ungeyumba. KJ aliwahi kutangaza kuwa anawajua majambazi na viongozi wa dini wanaouza madawa ya KULEWESHA na majina yao anayo wakati Dr.Slaa yeye hata hajatamka lolote. Msimlinganishe JK na Dr. W.P.Slaa kwa UMAHARUFU mtakuwa mnafanya kosa kubwa sana.
 
Mod naomba usinifungie ili niseme ukweli, tusipojiambia hata wake wachache ambas wangewezakupona watakwenda na Maji. Nimetoka hii thread nimetamani kujinyonga. Hapa nimeona typical upumbavu wa vijana wa kitanzania na files zaozakuishi kwa kuramba viongozi. Mpumbavu aw kwanza na Huyu aliyeleta hii thread, na wengine wote walioichangia nikiwemo Mimi. Hivi Kweli kuna mjinga asiyejua matokeo halisi ya kura za 2010 Leo hii? Na bado akajiona anaweza kutengeneza maisha yake? Vijana aw kitanzania ni chini ya thamani ya kijana yoyote Afrika Mashariki sababu wanaendekeza kula makombo na kupewa. Wamekubali kutengenezwa Kama Sauti ya watawala wachache wabovu ili kuwadumisha wao na familia zao,nawanalifanya Hilo kwa nguvu zote. Watanzania ni vijana pekee duniani wanaokula kwa kazi ya ushabiki na kuhamisha maneno. Ndio maana Leo hii CCM makundi hayaishi kwa Kuwa ni Mitaji ya vijana Wajinga na wasio na uwazi aw kufanya lolote,vijana wenye nguvu lakini hawa a direction,wamezoea kulelewa na kupenelewa na hawana tena sababu ya kujitengeneza kwa skills ili waweze kupapamba kwenye ajira, shule etc wamekubali kujataliwa upumbavu wamewtoa maisha Yao kuwapigania Watoto wa miungu Yao hata pale wanapojua Watoto Hao ni wajinga, hawana nidhamu nk hili ndio anguilla vijana wa kitanzania na nchi yao. Vijana hawa ni kizazi kilichokwisha kufa
 
Back
Top Bottom