Sumaye kupasua bomu...

Status
Not open for further replies.
We note also that EL was the most erratic PM that ever walked the earth. I still shudder at the memory of his sudden decision to hire a firm to "make rain" over Mtera, and his propensity to throw his weight arround by impulsive firings!

Sumaye and EL were never good leaders, and they never will be. I wish they would simply retire and leave us alone.
Was he erratic when he cancelled the CITYWATER contract? Was he erratic when he build all these shule za kata? how many schools were built after he left office?
 
Miaka 10 madarakani hata kwao hakukumbuka leo anataka madaraka ili iweje apeleke njaa zake huko wapiga kura ndo wameamua
 
Na yeye mwenyewe atajilipua? Nitashangaa kama hatajilipua maana na yeye ni fisadi tu kama wale wengine.
 
Hawa wajamaa wamegeuza makanisa kuwa ndio sehemu pa kupeleka vilio vyao. Kila mmoja huwa anatoa dukuduku lake kanisani. Kwanini jumapili? Badala kuiacha siku ya ibada iende kwa salama tunapeleka machungu kwa jumuia yote kanisani?
 
nasema hakuna urais hapa! apewe kadi na awe mwanachama ila no chance to be a leader coz hana atakachotufanyia.
 
haya munayo yaita mabomu sijui yakoje ?? anyway

Mkapa alisema viongozi wasifu wa nchi hii mawazo yao hayadhaminiwi Sumaye angelijua hili mapema angelitulia tu au angejunga na M4C ila si lengo la kuutaka Urais
 
Sumaye anataka kushindana na EL, hawezi kufanikiwa. The guy was PM for ten yrs and did absolutely nothing for this country. EL did a better job in his two years as PM . Sumaye falls in second place as the most incompetent PM after Pinda.

Watanzania mnapenda sana siasa, majigambo na sound bites nyingi...niambie wakati wa sumaye kulikua na crisis gani ya leadership hadi PM awe visible sana..serikali ya Mkapa ilijipanga, ilikua na nidhamu atleast kwenye majukumu yake ya kawaida na hamna mtu mmoja aliyekua anajipigia milege za kisiasa kijinga jinga...sasa huu uswahili wa JK unamfanya EL aonekane bonge la kiongozi. Niambie cha maana alichofanya EL ni nini? au kwa sababu alikua kwenye tv kila siku na magazetini as a part of his 2015 propaganda ya kurithishwa kiti.
 
Was he erratic when he cancelled the CITYWATER contract? Was he erratic when he build all these shule za kata? how many schools were built after he left office?

Shule za kata ni sekondari za aibu. Kumbe kuna watu wanazijivunia? Najua viongozi hawazioni ni kitu ndio maana hakuna hata mmoja anayekubali watoto wake wasome huko.

To start schools with neither teachers nor desks is extraordinarily erratic!
 
Yaani asijaribu kuwalipua wenzake, kumbe utukufu mtamu atuambie alichosahau km Mashamba Kibaigwa /Manyata bado anayo aliyojipatia kupitia IFAD na kujaza Wambulu na kiwanda cha Unga vyote kupiia mali za umma,
Kujipatia shule ya English Medium ya msingi na sekondari ya kulipia eneo la.Kisasa Dodoma kupitia mgongo wa kidini na ziara ya kiserikali kuomba msaada huo Marekani bado ana deni alilokopa mfuko wa jamii wakati wachangiaji hawakopeshwi
Hata akienda upinzani hawezi ficha maovu na ukabila makovu yake yapo na yataibuliwa
Km kakosa Mbulu apumzike km Warioba, Msuya nk
 
Was he erratic when he cancelled the CITYWATER contract? Was he erratic when he build all these shule za kata? how many schools were built after he left office?

mtakalia kupigia makofi city water wakati mtu yeyote ndani ya ile wizara angechukua uamuzi ule ule tena bila ya kutengeneza kadili ka $12 mil akishirikiana na kina Mkono..
 
Shule za kata ni sekondari za aibu. Kumbe kuna watu wanazijivunia? Najua viongozi hawazioni ni kitu ndio maana hakuna hata mmoja anayekubali watoto wake wasome huko.

To start schools with neither teachers nor desks is extraordinarily erratic!

Its a start.. watoto wote wale walioko shule hizo sasa wangekua wameozeshwa, vibaka au wanalima kilimo kisicho na tija chini ya sera mbovu za JK. Hata Roma haikujengwa kwa siku tatu.
 
Shule za kata ni sekondari za aibu. Kumbe kuna watu wanazijivunia? Najua viongozi hawazioni ni kitu ndio maana hakuna hata mmoja anayekubali watoto wake wasome huko.

To start schools with neither teachers nor desks is extraordinarily erratic!

Exactly! Tanzanians as long as we think along this way (that kiongozi huyu ni mzuri kwa sababu alifanya kitu hiki au kile hata kama hakina manufaa ya kweli kwa jamii zaidi ya kuonekana kwamba kafanya kitu) we'll always get leaders we deserve..
 
Watanzania mnapenda sana siasa, majigambo na sound bites nyingi...niambie wakati wa sumaye kulikua na crisis gani ya leadership hadi PM awe visible sana..serikali ya Mkapa ilijipanga, ilikua na nidhamu atleast kwenye majukumu yake ya kawaida na hamna mtu mmoja aliyekua anajipigia milege za kisiasa kijinga jinga...sasa huu uswahili wa JK unamfanya EL aonekane bonge la kiongozi. Niambie cha maana alichofanya EL ni nini? au kwa sababu alikua kwenye tv kila siku na magazetini as a part of his 2015 propaganda ya kurithishwa kiti.

Kwa hiyo kwako wewe kiongozi mzuri ni wakati wa crisis tu? kama hiyo ni argument yako basi maisha ya Mtanzania mbona ni crisis tupu toka asubuhi mpaka anaenda kulala, 24/7. Umeme, usafiri, matibabu, maji, umasikini, matumizi yasiyo ya lazima [awamu yao ilinunua rada, ndege ya rais , unakumbuka 'hata nyasi lazima tule'?],manyanyaso ya polisi, ukosefu wa ajira na majanga mengine kibao. Hizi ni criss tosha za kumfanya Sumaye ashindwe hata kulala usingizi...lakini alifanya nini?
 
Hayo unayosema wewe siyo crisis ni matatizo ya kijamii na kiuchumi ambazo tanzania kama nchi maskini imekua nazo toka uhuru na bado itakua nazo kwa miaka mingi tu ijayo..problems na crisis are two distinct things.

nimesema leadership crisis kama hii tuliyonayo sasa ambayo imemuexpose PM Pinda na viongozi wenzake wengine wengi vibaya hadi kukufanya wewe na wenzako wenye mawazo kama yako kufikiria kuwarate maPM waliopita kua huyu ni bora kuliko huyu.
 
mtakalia kupigia makofi city water wakati mtu yeyote ndani ya ile wizara angechukua uamuzi ule ule tena bila ya kutengeneza kadili ka $12 mil akishirikiana na kina Mkono..

Hapa ndiyo tatizo linapokuja sasa. Kwa nini hawakuchukua hatua mpaka Mzee Mzima akachukua hatua ??
Ni kwa sababu hii ya kutochukua maamuzi baada ya EL kuondoka Mnyika akaiita serikali hii DHAIFU. Ni kwa sababu hii Zitto aliitisha kura ya kutokua na imani na Pinda, na kubwa zaidi ni kwa sababu hii ndiyo maana nchi yetu ipo katika lindi zito la umasikini.
 
Hayo unayosema wewe siyo crisis ni matatizo ya kijamii na kiuchumi ambazo tanzania kama nchi maskini imekua nazo toka uhuru na bado itakua nazo kwa miaka mingi tu ijayo..problems na crisis are two distinct things.

nimesema leadership crisis kama hii tuliyonayo sasa ambayo imemuexpose PM Pinda na viongozi wenzake wengine wengi vibaya hadi kukufanya wewe na wenzako wenye mawazo kama yako kufikiria kuwarate maPM waliopita kua huyu ni bora kuliko huyu.

How do you get good leaders if you don't rate them? After all we are " supposedly" living in a democracy, right?
Kwangu mimi EL was/is a good leader, crisis or no crisis.
 
Exactly! Tanzanians as long as we think along this way (that kiongozi huyu ni mzuri kwa sababu alifanya kitu hiki au kile hata kama hakina manufaa ya kweli kwa jamii zaidi ya kuonekana kwamba kafanya kitu) we'll always get leaders we deserve..

* Kwa hiyo shule hazina manufaa kwa jamii?
* Sasa unachagua vipi kiongozi bora kama siyo historia ya utendaji kazi na uadilifu wao?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom