Recent content by KILAKA

  1. KILAKA

    Kwanini ukitongozwa unatukana badala ya kukataa?

    Wanawake wote wanaotukana wanaume pale wanapokuwa wanatongozwa hawajielewi.
  2. KILAKA

    Mwanamke hips jamani kalio ziada tu

    Learn to prioritize....kuna mambo mengi ya msingi sana kujadili kama mauaji ya albino yanayoendelea ambayo ni aibu kwa taifa!!!!
  3. KILAKA

    Kampeni maalumu Kwenye Social Networks dhidi ya Mauaji ya Albino Tanzania

    Hii nchi inakabiliwa na changamoto nyingi sana na nzito mf.ufisadi,ajira,mauaji ya albino...... sasa ninapoona watu wanakimbizana kuingia ikulu nabaki kujiuliza kama wanania ya dhati ya kutatua matatizo ya nchi hii??? au wanakimbizana kwenda kuiba???
  4. KILAKA

    Kampeni maalumu Kwenye Social Networks dhidi ya Mauaji ya Albino Tanzania

    Mtaje tu jina, kwani unamuogopa??? watu wote wamjue
  5. KILAKA

    Rai: Lowassa atishiwa kifo

    Astakafurahi.....!!! Umekufuru
  6. KILAKA

    Rai: Lowassa atishiwa kifo

    UN wamesema kuna uwezekano na albinos wengi zaidi wakauwawa kutokana na wanasiasa wengi watakaokwenda kwa waganga mwaka huu.
  7. KILAKA

    Rai: Lowassa atishiwa kifo

    Kitendo cha kumsema sana mtu, hupelekea kuanza kupenda mtu huyo bila ya wewe kujijua.
  8. KILAKA

    Rai: Lowassa atishiwa kifo

    hahahaha aisee wewe unamchukia mpaka basi!!!!! ila nasikia jamaa ana pesa mpaka anatamani ajiteke nyara!!!
  9. KILAKA

    Sitamani kuzaa mtoto wa kike

    Hawa watoto wa kike sio kwamba wanaharibika wenyewe, tunawaharibu sisi wanaume, kwa kuwapa mimba huku tukiwa tunajua wanasoma, tunawaonga magari ya kifahari unafikiri hata ukimwambia apige picha akiwa na bikini atakataa??? sisi ni chanzo!!!!!
  10. KILAKA

    Chato: Mtoto Yohana Bahati (Albino) atekwa, akatwa viungo vya mwili, Azikwa kwa ulinzi mkali

    Hii ni aibu kubwa kwa taifa ijapokuwa halipewi uzito unaostahili.
  11. KILAKA

    Wafuatao ni tishio kwa UKAWA iwapo watapewa nafasi ya Kugombea Urais 2015

    CCM wenyewe wanawaogopa hao watu na hivyo hawawezi kupewa nafasi.
  12. KILAKA

    Ommy Dimpoz azuiliwa kuingia Marekani!

    Huu sio ujanja ni ujinga tu.
  13. KILAKA

    Tundu Lissu: Matokeo ya kidato cha nne ni "uozo" mtupu

    Ni kweli ni vituko mambo ya distinction,merit,credit,pass & fail.
  14. KILAKA

    Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

    Huwa sipendezwi na wanawake wanaotoa siri za waume zao. Jide amejishushia heshima yake.
Back
Top Bottom