DOGofGOD
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,341
- 480
ila hapa umeongoa kama wamama watoa mipasho vile
Ukishasema Kama Manake Ni Mfano Na Hakina Uhalisia
ila hapa umeongoa kama wamama watoa mipasho vile
Wanaume wameachana na kutamani makalio sasa mioyo yote imehamia kwenye hips yaani mwanamke akiwa hata flat screen kinamna ila hips imechomoza vidume hoiii
Kwahiyo ulikuja jukwaa la MMU huku ukitarajia utakuta habari za mauaji ya albino, au??Learn to prioritize....kuna mambo mengi ya msingi sana kujadili kama mauaji ya albino yanayoendelea ambayo ni aibu kwa taifa!!!!
Learn to prioritize....kuna mambo mengi ya msingi sana kujadili kama mauaji ya albino yanayoendelea ambayo ni aibu kwa taifa!!!!