Recent content by kilaghonyi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kalemani arudishwe Wizara ya Nishati

    Umenena vyema mwenye anayeweza kupinga ni yule mwenye virusi vyakupingatu Ila Hana hoja
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jamhuri yakata rufaa dhidi ya Masheikh Uamusho

    Na yule aliyeuwawa pale mbele ya miserani alikuwa nani maana naona munajidanganya Ili mushabikie ugaidi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jamhuri yakata rufaa dhidi ya Masheikh Uamusho

    Kivipi alikomaa nao?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tusiukubali mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kwa sababu zozote zile. Utakuwa ni mtego utakaotunasa kama nchi

    Sawasawa kabisa ila ukumbuke ile ilikuwa china ya kijamaa na hii tunayo izungumzia niyakibepari
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa la mkandamizaji

    Sijaona ubaya wowote kwa kijana huyu.Ninchoweza kushuri wewe uendelee na hilo lako hayamengine waachie wahusika wanajua wanachofanya na wanafanya kwaajili ya nani
  6. K

    JamiiForums Tanzania Freddie Figgers ,mtaalamu wa teknolojia milionea aliyetupwa katika takataka akiwa mtoto mchanga

    Hebu chukua nafasi uisome ni nzuri Sana natani hata iwe ndefu zaidi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ambao si Wachagga huwa wanajisikiaje wakiona Wachagga wakihangaika kwenda makwao Desemba?

    Inawezekana Ila Mimi najisikia fahari nikiona ndugu wamekubaliana kukutana kijijini kwao angalau katika kipindi fulani Cha mwaka Ili kupanga Mambo yao yakifamilia Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ambao si Wachagga huwa wanajisikiaje wakiona Wachagga wakihangaika kwenda makwao Desemba?

    Hivi unajua wachaga hatakama yupo mjini lazima ajenga nyumbani Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi nimeomba huduma mwanzoni ma mwezi wa nane mpaka leo sijapewa maelekezo yoyote miezi miyatu hamana kitu savear kapita mwezi wa kumi miezi miwili baada ya kijaza fomu na mpaka leo hamna zaidi yakuambiwa subiri nipo kisongo arusha sijajua nn tatizo nguzo ipo nje nikushusha waya na mita tu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya mstaafu asalimisha silaha polisi, polisi wamchunguza

    Nashangaa ninapo Soma hii habari komolo ipo mkoa wa manyara Sasa arusha inahusikaje hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Ifike hata laki mbili ndio wakati wetu wakulima kula jasholetu kwa halal
  12. K

    JamiiForums Tanzania Marekani: Serikali ya Tanzania iweke wazi chanzo Kifo cha aliyedhaniwa kuwa na Ebola

    Hapo ndipo tunapokwama kilakitu wanaweka siasa za kijinga, hata kwahivi tunavyoviona mtu unalazimishwa tufumbe macho tusione. Mungu wa mbinguni atusaidie Sana
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tamisemi fuatilieni sakata hili katika jiji la Tanga

    Ndio maana yakusimamishwa kazi kipisha uchunguzi.hajafukuzwa kasimamishwa kazi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mnamwitaje huyu kwa kabila lenu

    Lufwi.KWA kigweno
Back
Top Bottom