Mkuu wa Wilaya mstaafu asalimisha silaha polisi, polisi wamchunguza

nyamadoke75

Member
Apr 1, 2020
86
280
Mkuu wa wilaya mstafu nchini, Peter Toima anadaiwa kusalimisha silaha yake mbele ya jeshi la polisi mkoani Arusha baada ya kudaiwa kumtishia mkewe wa ndoa Mara kadhaa, Philomena Toima.

Hatua ya kiongozi Huyo mstaafu kusalimisha silaha yake inakuja kufuatia kumpiga Mara kwa Mara mkewe na kisha kumtishia kwa silaha hiyo jambo lililopelekea mwanamke huyo kuwasilisha malalamiko mbele ya jeshi hilo.

Mnamo mwaka Jana mke wa kiongozi huyo (Philomena) alifungua jalada la shambulio lenye kumbukumbu nambari KML/RB/137/2019 katika kituo cha polisi cha Komolo wilayani Simanjiro akilalamika kushambuliwa sehemu mbalimbali mwilini mwake.

Katika tukio hilo Philomena alimlalamikia mmewe kutokuwa mwaminifu kwenye ndoa yake baada ya kudaiwa kuchepuka na mwanamke aliyetambulika kwa majina ya Scolla Mollel.

Philomena alidai kwamba matatizo hayo yalianza pale mme wake alipomwajiri mwanamke huyo ambaye kwa sasa amezaa naye mtoto mmoja katika taasisi waliyoianzisha ya ECLAT Foundation kama mtunza fedha.

Taarifa za uhakika zinadai kwamba Toima alikabidhi silaha yake hivi karibuni mbele ya jeshi la polisi mkoani Arusha na kutakiwa kuripoti Mara kwa Mara.

Hatahivyo,taarifa hizo zimeeleza kwamba polisi wanaendelea kuchunguza jalada lililofunguliwa mbele ya jeshi hilo na endapo wakikamilisha watamfikisha kiongozi Huyo mstaafu mahakamani.

Pichani chini ni mkuu wa wilaya mstaafu nchini Peter Toima akiwa na mkewe .

Picha nyingine ni mwanamke anayedaiwa kuwa na mahusiano naye na kupelekea kuvuruga ndoa ya wawili hao,Scolla

Mollel.
IMG_20200417_093446_654.JPG
IMG_20200417_093425_398.JPG
IMG_20200417_093436_358.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa bana,bora angeenda kutafuta kitu ambayo haijakeketwa sasa hao wote si wale wale wa jamii 1?Mkeketo umeshahusika hapo.
 
Mi on mewaza mbali zaidiii kadiri ya ujinga wangu hebu twende pamoja hapa labda tutaelewana

Taasisi ya Mkuu mstaafu inaitwa ECLAT

Mchepuko unaitwa SCOLA

Hebu niunge dots

SKOLA = SKY + ECLAT

Unapata SKYECLAT

Kuna member humu ana id ya SKYECKAT

Nimewaza tu kaduri ya elimu Yangu ya darasa la tatu C

Sent using Jamii Forums mobile app

@skyeclat
 
Nyumba ndogo mitihani sana,kama huna don't dare even to try..wanaharibu sana ndoa nyingi,unaweza kuta mtu ana familia yake fresh kabisa na mambo yanaenda lakini sijui kiranga gani kinamkuta anatafuta mchepuko,wengi wa hizi nyumba ndogo wako kwa ajili ya kitu lakini hakuna mapenzi ya dhati..mapenzi yashatashata utapata sawa lakini ndio ujue shetani anaenda kukuharibia.
 
Hajakosea sana, scolla yuko vema tu, angekuwa kimeo hii kesi isingefika mbali namna hii
 
Nyumba ndogo mitihani sana,kama huna don't dare even to try..wanaharibu sana ndoa nyingi,unaweza kuta mtu ana familia yake fresh kabisa na mambo yanaenda lakini sijui kiranga gani kinamkuta anatafuta mchepuko,wengi wa hizi nyumba ndogo wako kwa ajili ya kitu lakini hakuna mapenzi ya dhati..mapenzi yashatashata utapata sawa lakini ndio ujue shetani anaenda kukuharibia.
Mkuu tatizo hawa wake zetu wakituzoea wanajisahau sana, japo sio wote. Anakuona kama kaka yake hakuhudumii inavyopaswa hasa kwenye tendo la ndoa. Tabia hii inapokomaa husababisha mwanaume aangalie namna ya kupata msaada pembeni, matokeo yake yanazuka mambo mazito
 
Mi on mewaza mbali zaidiii kadiri ya ujinga wangu hebu twende pamoja hapa labda tutaelewana

Taasisi ya Mkuu mstaafu inaitwa ECLAT

Mchepuko unaitwa SCOLA

Hebu niunge dots

SKOLA = SKY + ECLAT

Unapata SKYECLAT

Kuna member humu ana id ya SKYECKAT

Nimewaza tu kaduri ya elimu Yangu ya darasa la tatu C

Sent using Jamii Forums mobile app
.... Sky Eclat unatafutwa na huyu jamaa!
 
Mkuu wa wilaya mstafu nchini, Peter Toima anadaiwa kusalimisha silaha yake mbele ya jeshi la polisi mkoani Arusha baada ya kudaiwa kumtishia mkewe wa ndoa Mara kadhaa, Philomena Toima.

Hatua ya kiongozi Huyo mstaafu kusalimisha silaha yake inakuja kufuatia kumpiga Mara kwa Mara mkewe na kisha kumtishia kwa silaha hiyo jambo lililopelekea mwanamke huyo kuwasilisha malalamiko mbele ya jeshi hilo.

Mnamo mwaka Jana mke wa kiongozi huyo (Philomena) alifungua jalada la shambulio lenye kumbukumbu nambari KML/RB/137/2019 katika kituo cha polisi cha Komolo wilayani Simanjiro akilalamika kushambuliwa sehemu mbalimbali mwilini mwake.

Katika tukio hilo Philomena alimlalamikia mmewe kutokuwa mwaminifu kwenye ndoa yake baada ya kudaiwa kuchepuka na mwanamke aliyetambulika kwa majina ya Scolla Mollel.

Philomena alidai kwamba matatizo hayo yalianza pale mme wake alipomwajiri mwanamke huyo ambaye kwa sasa amezaa naye mtoto mmoja katika taasisi waliyoianzisha ya ECLAT Foundation kama mtunza fedha.

Taarifa za uhakika zinadai kwamba Toima alikabidhi silaha yake hivi karibuni mbele ya jeshi la polisi mkoani Arusha na kutakiwa kuripoti Mara kwa Mara.

Hatahivyo,taarifa hizo zimeeleza kwamba polisi wanaendelea kuchunguza jalada lililofunguliwa mbele ya jeshi hilo na endapo wakikamilisha watamfikisha kiongozi Huyo mstaafu mahakamani.

Pichani chini ni mkuu wa wilaya mstaafu nchini Peter Toima akiwa na mkewe .

Picha nyingine ni mwanamke anayedaiwa kuwa na mahusiano naye na kupelekea kuvuruga ndoa ya wawili hao,Scolla

Mollel.View attachment 1421409View attachment 1421410View attachment 1421411

Sent using Jamii Forums mobile app
Appearance ya huyo mama ni ya kimalaya kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom