Uzi maalumu wa baadhi ya hukumu za Kesi zilizowahii kutikisa Nchi

KASULI

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
599
669
Habari za Jioni wanajamvi, nimekuwa nikivutiwa kufatilia kesi mbalimbali zilizowahii kutikisa nchi. Mfano:

1. Kesi ya Babu Seya
2. Kesi ya Zombe
3. Kesi ya mauaji ya Imran Kombe
4. Kesi ya Mwalimu Mutazingira
5. Kesi ya wale jamaa walioua watu saba kwa mapanga

Katika uzi huu tutawekaa hukumu na kujaribu kujadili kuhusu ushahidi uliowatia hatian watuhumiwa.

Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zote hazijafikia "Kesi ya Uhaini".

Habari za wakili Murtaza Lakha akimhoji shahidi wa serikali "Mr. X" Dr. Augustine Mahiga kwenye kesi ya mpango wa kumpindua Nyerere urais.

Enzi hizo Jumamosi sikosi gazeti la Mfanyakazi kufuatilia mtiririko wote wa maswali.
Huko umempeleka mbali sana, huyu anaonekana hazijui kesi zilizotikisa nchi hii, kuna case ya Uhaini ya Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad & Wenzake, Case ya Dowans, Case ya Mtikila (1 & 2).

Kanileta mbio kwenye huu uzi, kumbe bure. Acha niendelee kunywa gongo hapa kilabuni tu.
 
Kiongozii kama unayoo iwekee tuisome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za Jioni wanajamvi, nimekuwa nikivutiwa kufatilia kesi mbalimbali zilizowahii kutikisa nchi..mfano

1. Kesi ya Babu Seya
2. Kesi ya Zombe
3. Kesi ya mauaji ya Imran Kombe
4. Kesi ya Mwalimu Mutazingira
5. Kesi ya wale jamaa walioua watu saba kwa mapanga

Katika uzi huu tutawekaa hukumu na kujaribu kujadili kuhusu ushahidi uliowatia hatian watuhumiwaa....

Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesi ya Maumba kulawiti watoto wa shule
 
Kuna ile kesi che Nkapa alitinga mahakamani sijui hata ilikua inahusu nini, ila nakumbuka ni kama upigaji flani kwenye nyumba za ubalozi huko Italy
 
Ingekua poa kesi ingeelezwa inahusu nini, wahusika, tarehe za matukio, hukumu, weird/ funny circumstances around hiyo kesi.

Ila nikifikiriaga wiki mbele unaikuta somewhere mzuka wa kujichimbia ili kuandika unakata.
 
Unajikuta wapi tena huko mkuu
 
Back
Top Bottom