Recent content by kikwambi

  1. kikwambi

    Tukutane hapa wapenda ujasiriamali

    Mtaa wa Narung'ombe kariakoo ndo wa viatu bei ya jumla na rejereja
  2. kikwambi

    Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Nenda Gwata au Vikumburu unaweza kubahatisha mkuu
  3. kikwambi

    Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Mkuu nahitaji unga wa udishe, napata wapi make kila nikiuliza wanadai ilo jina ni geni.
  4. kikwambi

    Matumizi sahihi ya Home theatre Nyumbani

    Mkuu naunga mkono hoja nna subwoofer ya sumsung kiukweli nilijua mm ndo nakosea kuipangilia coz si feel music km nna vyo feel kwa rafiki yng mwenye hi fi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kikwambi

    Nimekaa na kufikiria uamuzi wa Lazaro Nyalandu lakini sijamuelewa hadi sasa

    Ukiona mtu anapata jeuri ya kuacha chakula ujue kasha shiba, Pale Maliasili na Utalii kuna mambo mengi sana.
  6. kikwambi

    Wapi naweza kupata monitor ya TV?

    Hata mi yangu imekufa display ni OUling wapi ntapa fundi mzuri mkuu?
  7. kikwambi

    Flat screen

    Wakuu habari za Leo? Naomba kuuliza, Tv yangu flat screen aina ya Ouling inch 32 imeharibika display pale kwenye kioo hakuna kinachotokea zai ya mistari na wino tu je inaweza kutengenezeka kwa mafundi au nijipange upya kununua nyingine?
  8. kikwambi

    Fundi:Meza ya kioo kilichovunjika.

    Nina meza imara nauza mkuu yani kile kioo ni cha pua Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kikwambi

    Nani kumrithi Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo?

    Kwa unadhani yeye anatafuta nini si pesa? Sasa kama pesa imejileta unasubiri kitu gani kwa mfano? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kikwambi

    Nani kumrithi Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo?

    Wanajua kua mwanasiasa ni kupinga tu, anachofanya Raisi ni sawa awape wapinzani madaraka ili tuone nao wana uwezo kiasi gani sio kucheza na maneno tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kikwambi

    New video: Rich Mavoko ft Fid Q - Sheri

    Wimbo umesimama japo chorus imetaka kwenye kwenye Show me but sio case ngoja imejaa ubunifu wa hali ya juu sijawahi kuacha kumsikiliza huyu kijana mnaosema hajiamini sijui mnamaanisha kitu gani. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kikwambi

    Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Uko sahihi mkuu nashangaa kuona mtu anasema eti AEE point 7 mtu haendi chuo wkt mambo yako wazi na mifano TCU wametoa lkn watu wamekomaa na D pekee na kuna jamaa yangu mwaka Jana kaenda kwa alama hizo. Post sent using JamiiForums mobile app
  13. kikwambi

    Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Degree anasoma we nenda chuo kawaulize usiridhike na story za humu wanataka point nne na mwanao anazo. Post sent using JamiiForums mobile app
  14. kikwambi

    msaada nashindwa kuinstall whatsapp na jf

    Restore simu tatizo litaondoka kbs lkn hakikisha umetoa line zako na memory card ili kinusuru vitu vyako visifutike make simu itarudi km siku uliyoitoa dukani.
  15. kikwambi

    Tetesi: Kuhusu alama za ufaulu kidato cha sita

    Hizo alama zinaanza kutumika mwaka huu au ujao?
Back
Top Bottom