New video: Rich Mavoko ft Fid Q - Sheri

Kuna mtu anasema hii ngoma ka copy "show me" mwingine kasema "kama utanipenda" ya darasa. Cha ajabu wakati "show me" inatoka hakuna aliyesema inafanana na "kama utanipenda"
 
Kuna mtu anasema hii ngoma ka copy "show me" mwingine kasema "kama utanipenda" ya darasa. Cha ajabu wakati "show me" inatoka hakuna aliyesema inafanana na "kama utanipenda"
hahahaha umenichekesha sana.... vijana wengi huchukia vijana wenzao wanapo fanikiwa...
Kwangu mimi huu ni mmoja wa wimbo bora kabisa....
 
Nashindwa kuelewa WCB wanakuza au wanaua kipaji chake..dogo amechange sana kuanzia kuflow kiuandishi na hata kivina ..amekuwa msanii wa kukopy style za watu na kurudia swagz zile zile tangu asaini WCB
 
Booooonge moja la ngoma,hongera sana Richard Martini kwa hii kazi.
 
Wimbo umesimama japo chorus imetaka kwenye kwenye Show me but sio case ngoja imejaa ubunifu wa hali ya juu sijawahi kuacha kumsikiliza huyu kijana mnaosema hajiamini sijui mnamaanisha kitu gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Ganja ni adui namba 1 wa mtanzania" duh bora hata wavuta bangi wanajua angalau adui namba 1 wa Tanzania kuliko wewe usievuta,for the record kaya haina madhara kama sigara na pombe zinazoendesha uchumi wa nchi kama vifo basi pombe na sigara viko juu sana ila kwa kua mmekariri sio mbaya ila ukiambiwa ulete madhara ya bangi hauna.
Legalize it....
Kichaa mara nyingi humuona aliyemzima ndiye kachanganyikiwa .....hivi kweli wewe ...kwa kuwa ni mvutaji hujui ni jinsi gani umeathirika ili mambo ya wavuta bangi ni tofauti kabisa ni ya ajabu ajabu....
 
Usiongee kutoka hewani leta tu mfano hai wa athari za bangi hapa na nimekupa mfano wa pombe na sigara ambavyo vinatumiwa na serikali imeruhusu kua athari zake kwenye vifo na magonjwa viko wazi nipe na athari za bangi.
 
Yule Mavoko wa enzi za 'Silali' natamani ajirudie
 
Back
Top Bottom