Nchi yetu ina mifumo iliyojengwa vizuri tu. Hili halikuanzia sasa bali tangu kipindi cha mwalimu Nyerere. Tatizo la nchi yetu ambalo lipo tangu enzi za mwalimu ni kuwa viongozi wengi katika ngazi mbalimbali na pia wananchi wengi bado wanamitazamo hasi. Hili limechanganyika na Ubinafsi, uvivu wa...
Waelewa huangalia hoja na agenda za chama. Waelewa huhitaji zaidi mabadiliko chanya. Chama cha siasa lazima kiwe na agenda zinazokilisha na kukikuza. Lengo la mwanasiasa yeyote ni kukuwa ili aendelee kuchaguliwa tena na tena. Ukiwa ktk chama ambacho hakina agenda zinazolisha na kukuza chama...
Kkimondoa,
Sasa kama waliokuwa wanazungumzia mabadiliko hawaishi mabadiliko hayo unategemea nini. Tujifunze kusimama katika misimamo tunayoamini imetukuka kwa ajili ya sustainability. The moment gear ilipobadilishiwa angani, ndiyo maangamizi yalipotokea. Hivi sasa tunaona tu matokeo.
Haswaa. Lazima wananchi wa pande zote watii sheria za nchi husika. Kila nchi ikiwa imara katika kusimamia sheria, wananchi wataliona hili hivyo matatizo hayo yatapungua kama siyo kwisha kabisa
Daudi alitekeleza kusudio la Mungu pamoja na madhaifu mengine. Kila mmoja Mungu kamuumba ili atekeleze jambo fulani. Mungu anajua katika kutekeleza hayo kuna changamoto mbalimbali ikiwemo udhaifu wa Kimwili. Dhamira njema na Moyo wenye nia njema ni msingi wa msamaha na baraka pia.
Kama unafamilia, wewe unaweza kutimiza mahitaji yote kwa wakati mmoja? Huna mpango? Huna vipaumbele? Ndivyo ilivyo kwa kiongozi yeyote. Matakwa na mipango ni mingi lakini utekelezaji lazima uzingatie rasilimali zilizopo wakati huo
Wazo zuri sana mkuu. Mwanzoni utapata changamoto nyingi lakini zitakwenda zikipungua miaka inavyozidi kwenda. Kwa watanzania wengi kwa sasa ni utamaduni mpya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.