Recent content by Kikusya

  1. Kikusya

    Mkenya aliyekamatwa na dawa za kulevya Vietnam kunyongwa Machi 17, 2025

    Je kama kaonewa kwa sababu ya ushamba ni kosa lake? Kwa mfano, yeye ni mara ya kwanza kusafiri kwa ndege, pia ni mara ya kwanza kuhaidiwa kazi za huko aendako. Fikiria huyo mtu anayetumia ushamba wake kuweka madawa kwenye begi lake. INAFIKIRISHA SANA, MUNGU AWE NDIYE HAKIMU SIKU ZOTE.
  2. Kikusya

    Hivi Waafrika hatuna akili?

    utafiti mdogo, hivi wahazabe kwa nini hawalimi ili kujilinda na njaa au kupanda mbegu ili wasishinde maporini kila siku tuanzie hapo kwanza. Je? Ingekuwa wazungu ndiyo wahazabe wangekuwa wa Pi kimaisha? Au nao wangekuwa kama wahazabe miaka yote? Akili ni ule uwezo wa kutatua changamoto...
  3. Kikusya

    Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

    mara nyingi bei inapanda kulingana na eneo husika na hadhi, pili bidhaa zingine ni bei kubwa kwa sababu haitengenezwi nchini. Kwa mfano hiyo pombe inawezekana ni bei sana huko nje ya nchi. Kwa mfano bei ya maji ya chupa ndogo ukinunua Pale Tandale sokoni sh 750 maji hayo hayo yakauzwa hotel ya...
  4. Kikusya

    Serikali itoe tamko rasmi kuhusu kuadimika kwa nyama ya mbuzi jijini Dar es Salaam

    Vipi kuhusu Dodoma wine, tuvipende vya kwetu. Kuhusu nyama ya mbuzi labda kuna mtu kanunua mbuzi wote na kupeleka uarabuni. Waarabu wanapenda sana nyama ya mbuzi.
  5. Kikusya

    Ni wapi wanafundisha mchezo wa ngumi (boxing) kwa hapa Iringa

    Ni hobby pia ni mchezo mzuri kwa afya. Inategemeana wewe unataka nini? Kujilinda au kwa raha zako.
  6. Kikusya

    Wakuu tatizo langu la meno liko complicated nataka ushauri wenu

    Kuw Usidharau maumivu ya meno ni hatari. Dawa za maumivu zinaficha tatizo, dawa ni kung'oa weka bandia kama unataka, pili ni kwenda kwa daktari wa meno sana sana ( hygienist) ili aangalie fizi zako kama zinashika meno vizuri. Mwisho, kama utapata infections kupitia jino siyo kesi nzuri., kwa...
  7. Kikusya

    Nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo, X Ray haioneshi kitu

    Hospitali gani mzee? Maana kuna madaktari wengine na daktari. Mimi niliteguka mkono ukaangalia upande mwingine, jamaa walinipa huduma ya kwanza na kufanikisha kuurudisha sawa na maumivu yakapungua na uvimbe ukawepo. Nilipopigwa Xray nikaambiwa pako sawa na kupewa dawa za maumivu nikashangaa...
  8. Kikusya

    Mbwa wazuri na wakatili

    Kweli kabisa hawatabiriki, wanaweza kukugeukia mwenyewe.
  9. Kikusya

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Uchaguzi umekaribia karibu sana.Ndiyo msimu wenyewe huu.
  10. Kikusya

    Zijue sifa na gharama za kumiliki silaha Tanzania

    Miaka ya nyuma huko Boko jamaa walikuja mida ya saa nane usiku, tukawashtukia mapema wao hawana habari huko nje. Walikuwa kama nane, mmoja akaja karibu na dirisha langu si nikamtisha kwa maneno " hapo hapo ulipo simama" kama vile askari mwenye siraha. Eeeh! Bwana hizo mbio siyo za mwanadamu wa...
  11. Kikusya

    ACT Wazalendo wakamata Kura Feki uchaguzi Mdogo Kata ya Kasingirima Kigoma zikiwa zimepigwa kwa Mgombea wa CCM

    Waweke picha ya wagombea kila mtu na mpiga kura wake, kila mtu ataona nani anamstari mrefu wa wapiga kura. Mwenye mstari mrefu zaidi ndiyo mshindi.
  12. Kikusya

    Baada ya sex, miguu yangu huishiwa nguvu

    Miguu na sex kuna muingiliano mkubwa sana ndiyo maana wachezaji wa mpira ni vizuri wakawa kambini wiki nzima kabla ya mechi. Timu nyingi za Africa hazifuati sana hili.
  13. Kikusya

    Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

    Ukisoma vitabu vingi vya wazungu toka enzi za ukoloni walishaandika kwamba blacks can never manage themselves. Walishaona na kuishi nao. Sisi ni aina tofauti ya binadamu, siyo waungwana, si wakweli n.k ndiyo maana tunasachiwa sana huko kwenye viwanja vya ndege vya watu.
  14. Kikusya

    Je, ilikuwa sahihi kwa Rais kuiasa hadharani familia ya Mzee Mwinyi isigombane?

    Kwanza kabla sijachangia chochote ningependa kujua kama wajane wa raisi stahiki zao zikoje kutoka serikalini? Tumezoea mjane mmoja je hawa wawili stahiki zao zikoje? Nusu kwa nusu au mke wa pili serikali haimtambui kwenye stahiki zake?
Back
Top Bottom