hatupendi vya kwetu
tunahisi kama vile bado tuko nyuma sana
Ndiyo maana wavumbuzi wanakata tamaa
Kushindwa kusapotiana nayo pia ni ukosefu wa akili, umezunguka lakini kiaina umekubali kuwa Waafrika hamna akili kabisa.Mimi naamini akili tunazo lakini hakuna kusupportiana huku Africa. Mfano huku Tz kuna maengineer lakini mpaka leo barabara zetu wanajenga wachina.
Yote hayo👆 ni ukosefu wa akili.hatupendi vya kwetu
tunahisi kama vile bado tuko nyuma sana
Ndiyo maana wavumbuzi wanakata tamaa
Hapo umeudhihirisha ukosefu wa akili unaozungumziwa kwa mfano halisi kabisaTunamaugnduzi mengi tunayo sema nn wazungu hawataki kutu appreciate kitendo cha kupaa na ungo bila adhari zozote ni ugunduzi wazungu waksema hyo ni uchawi ili mandenge yao yasikose wateja ila ni njia bora sna ya kusafiri hii iaharamishwe
Unahangaika kutafuta excuses lakini maelezo yako ndiyo kabisa yanadhihirisha ukosefu wa akili.hatuna akili au tunaonekana hatuna akili kwa sababu hatufwati meritocracy, angalia mfano mkuu wa trc alivyo vizuri ni kwa sababu meritocracy ilitumika akapata hiyo position huo ni mfano tu, sasa ilitakiwa iwe hivyo kila mahali hapo ungeona matunda yake, lkn hatufwati meritocracy na imekwenda mbali kiasi kwamba sasa hivi anayefaulu sana anachekwa …
Hatutaki kutumia akili. Si unaona wale wazee wa TFF. watu wenye akili walikaa wakatunga kanuni kwa kutumia akili wenyewe hawazitaki wanataka kutumia busara ambayo nina uhakika wakiambiwa wataje mipaka ya busara hawawezi.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Unahangaika kutafuta excuses lakini maelezo yako ndiyo kabisa yanadhihirisha ukosefu wa akili.
Haaahaa we jamaa umeenda mbali sana. uo ndo ukweli japo najua kuna watakaokupinga hadi kesho.Hatutaki kutumia akili. Si unaona wale wazee wa TFF. watu wenye akili walikaa wakatunga kanuni kwa kutumia akili wenyewe hawazitaki wanataka kutumia busara ambayo nina uhakika wakiambiwa wataje mipaka ya busara hawawezi.
Sisi tunaendeshwa kwa hisia na mihemko ya mwili. Yaani hata mtu ofisini akikosolewa kidogo badala ya kurekebisha anachokosolewa ataanza kusema unanifundisha kazi. Anasahau mafunzo kwenye maisha hayana mwisho. Matumizi ya akili sisi tumeyakataa. Tunasubiri manabii na waganga walete miujiza.Haaahaa we jamaa umeenda mbali sana. uo ndo ukweli japo najua kuna watakaokupinga hadi kesho.
Urogi hauwezi kumpata mtu,hadi mungu atake.Wazungu wenyewe hawapendi sisi tuwe wagunduzi na hii yote nikutokana na kutokuwa na imani na mtu mweusi
Hivi unadhani tukiwa wagunduzi wazungu watatusapoti ikiwa sisi kwa sisi hatusapotiani.
Acha tuwe hivihivi kama manyumbu, uchawi kwa sana
Yaani mtu nweusi hususani Tz akiona mtoto wajilani anafanya vizuri darasani anamroga, sasa huo ugunduzi utatoka wapi
Unafeli somo la kilimo ila unafaulu kiingereza, unaongea kiingereza kizuri kuliko wenye lugha ila tumbo lina njaa. Hiyo ni akili?Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Kama tumeshindwa tu kulinda rasilimali za bure alizotupatia MUNGU huo ugunduzi tutautoa wapi. North Korea walipewa vikwazo nchi ikawa kama imefungiwa kila kitu, lakini wametengeneza mpaka nuklia, silaha nk. Na tusiseme mwafrika tuseme sisi watu weusi.
Nafikiri Adam na Eva walikuwa wazungu, Waafrika sijui wametokana na nini!! Labda ni kizazi cha "Darwinism theory "Wazungu wenyewe hawapendi sisi tuwe wagunduzi na hii yote nikutokana na kutokuwa na imani na mtu mweusi
Hivi unadhani tukiwa wagunduzi wazungu watatusapoti ikiwa sisi kwa sisi hatusapotiani.
Acha tuwe hivihivi kama manyumbu, uchawi kwa sana
Yaani mtu nweusi hususani Tz akiona mtoto wajilani anafanya vizuri darasani anamroga, sasa huo ugunduzi utatoka wapi
Ni watu wa kushangaa shangaa tu na kudharau utamaduni wetu. Angalia bara la Afrika lilivyo tajiri ila watu ni masikini. Hiyo ndio inayoonyesha kuwa hatuna akili.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Kipimo cha akili ndogo za Waafrica, ni hiki. Anatokea mwarabu, msomali, mhindi, mzungu au mchina fulani, anahamia kijijini ndani ndani tu huko. Baada ya miaka mitatu, minne, mitano, anakusanya utajiri wa kutosha hapo hapo kijijini, anahamia mjini mkoani, labda Mwanza, Dsm Arusha nk. Baada ya miaka mitatu minne, mitano,anahamia London, au New York, au Brisbane na kuanzisha mpaka makampuni. Mwafrica wa kijijini bado yuko hapo hapo kijini na pombe zake na hirizi zake na jando na unyago vyake. Hili nimelifanyia utafiti. Akili zetu zina kasoro na upungufu mkubwa.Ni watu wa kushangaa shangaa tu na kudharau utamaduni wetu. Angalia bara la Afrika lilivyo tajiri ila watu ni masikini. Hiyo ndio inayoonyesha kuwa hatuna akili.
Ni watu wa kushangaa shangaa tu na kudharau utamaduni wetu. Angalia bara la Afrika lilivyo tajiri ila watu ni masikini. Hiyo ndio inayoonyesha kuwa hatuna akili.