Recent content by Kikombe1

  1. Kikombe1

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe uwanja wa Mkwakwani ni wa CCM?

    Kuna tatizo gani
  2. Kikombe1

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

    Mzee Mwinyi aliwahi kusema maisha ni kama uandishi wa kitabu.
  3. Kikombe1

    JamiiForums Tanzania Nani atakuwa Mgombea Mwenza wa Samia mwaka 2025?

    So what is your position
  4. Kikombe1

    JamiiForums Tanzania Diblo Dibala katika Siasa za Tanzania ndiyo nani?

    Mimi
  5. Kikombe1

    JamiiForums Tanzania Suzuki Escudo. Mwenye kuijua Spea, Mafuta & Utunzaji

    Mzuri kw wastaafu
  6. Kikombe1

    JamiiForums Tanzania Wadau wahoji uhalali wa Daraja la Tanzanite kuwa bure huku la Kigamboni likiwekewa Tozo

    Mradi wa daraja la Nyerere lenye urefu wa mita 680, upana wa mita 32 ulizinduliwa na na kuanza kutumika rasmi tarehe 19 Aprili 2016 ambapo inakadiriwa kutumia kiasi cha shilingi za kitanzania bilioni 300. Mradi unamilikiwa kwa ubia kati ya Serikali ya Tanzania ( 40%) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii...
  7. Kikombe1

    JamiiForums Tanzania Urafiki na Rwanda vs Urafiki na Kenya upi una Manufaa Kwa Tanzania?

    Jibu ni simple. Rwanda ni nchi ndogo na haina uchumi mkubwa kulingana na Kenya.
  8. Kikombe1

    JamiiForums Tanzania Natabiri Bashiru kuwa Waziri Mkuu

    (2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi Bungeni au kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge wengi...
  9. Kikombe1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    1. Majaliwa 2. ?
  10. Kikombe1

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

    Hongera sana Mh. Mbowe. Mchezo wa siasa ni kushinda au kushindwa. Wananchi wamesema sasa basi. CCM imeshinda kwa kishindi Jimbo la Hai
  11. Kikombe1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ukishakuwa na beach hakuna wa kukushinda
  12. Kikombe1

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka Tundu Lissu madarakani

    Usiwe na wasiwasi. Hakuna kipindi ambacho nchi yetu ipo imara kama sasa. Watapata aibu na Amsterdam wao
  13. Kikombe1

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nimesikitika Bunge la 12 kuwakosa watu muhimu kama Mzee Chenge

    Kweli lakini amesahau kuwa CCM ina hazina ya viongozi.
Back
Top Bottom