Recent content by Kikael

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Picha ndo Kwanzaa inaanza.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kujisikia kichefuchefu na kutapika wakati wa ujauzito (Morning Sickness)

    Ndio miezi minne lakin hayakati yananitesa sana.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kujisikia kichefuchefu na kutapika wakati wa ujauzito (Morning Sickness)

    Nina ujauzito wa miezi minne ila nina tatizo la kutema mate hadi nahisi kero...naombeni msaada wa kumaliza hili tatizo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ugaidi Kenya - Picha kutoka eneo la tukio WestGate

    Inasikitisha kuona damu ya watu wasio na hatia ikimwagika...poleni wakenya na Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Amina.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wivu wa kupitiliza unaboa

    Wivu kiasi unogesha mahusiano lakini wivu kupindukia ni sumu kali sana kwa wapendanao.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume bana kila kitu husingzia wanawake!! mwisho leo na nisisikie tena

    Mwanaume mwenye tabia hizo hafai tena inabidi umuogope kama ukoma
  7. K

    JamiiForums Tanzania Video mpya ya Diamond iliyogharimu million 40...

    Jamaa yuko makini na kazi yake..hongera zako diamond.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Picha;nilimfanyia hadi hivi........lakini bado kanitosa

    Duh...jamaa ana moyo kwelikweli.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake mkifikisha miaka 28 nakuendelea...ndoa ni bahati nasibu

    Kwangu mimi miaka 28 ndio umri sahihi wa mwanamke kuolewa na sio kama mleta uzi asemavyo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Member mpya.

    Habari,mimi ni member mpya,naomba mnipokee.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Member mpya

    Habari...mimi ni member mpya,naomba mnipokee.
Back
Top Bottom