Recent content by Kijundukila

  1. Kijundukila

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Thanks to God. Nami naendelea next stage.
  2. Kijundukila

    Wale wenzangu wapenzi wa Gb WhatsApp, Yo WhatApp, WhatsApp Plus hali ni tete!!!

    Dah!! mimi wakinipiga ban nahisi nitaumwa. ile HIDE CONVERSATION imeniokoa sana aisee kwenye GB Whatsapp.
  3. Kijundukila

    Tujadili fursa mifuko mbadala

    Kwa mahitaji ya mifuko ya khaki mahususi kwa wauza chipsi na maduka ya rejareja. Kwa mawasiliano 0763440714.
  4. Kijundukila

    Mashine ya selcom

    :D :D :D watangaze tu kwenye sredi moja hii hii sio??
  5. Kijundukila

    Mawakala wa Tigopesa, M-PESA na Airtel tunaotumia line zenye majina tofauti na yetu hatuna chetu tena!!!

    Inasemekana hapa kuna changamoto ya kucheleweshewa sana kuipata hiyo line, kwako ilikuchukua muda gani kuipata line na ulitumia njia ipi mkuu.
  6. Kijundukila

    Mnaokimbilia kuoa na kuolewa

    Siku hizi thread za mistari miwili zipo nyingi sana. Vijana wa facebook washavamia.
  7. Kijundukila

    Kama upo serious

    Kama umeshindwa hata kujua wapi unatakiwa kuweka hii thread yako. Hilo group mbona litakua na changamoto sana?? Na hayo mambo yote uliyoyaorodhesha hapo utafanya mwenyewe au??🧐🤔🤔
  8. Kijundukila

    Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

    Nimepitia comment zote, naomba ufafanuzi toka kwako mleta mada. Ni kipi kinahitajika kusajiliwa na kutolewa leseni kati ya Brela, BOT, na halmashauri kwa kigezo cha mtaji na aina ya biashara (microcredit) Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kijundukila

    Wana body naomba kuuliza kuhusu hii taasisi : Step Up Loans

    Hahaha mkopo na kianzio utoe tena?? Hili janga waambie waanze wao kukupa mkopo utatoa kiingilio kutoka kwenye hiyo amount watakayokupa.
  10. Kijundukila

    Nimemaliza taratibu zote September project hii

    Shukrani mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kijundukila

    Nimemaliza taratibu zote September project hii

    Samahani mkuu mimi naomba kujua ni vibali gani hasa vinahusika kwenye hili. Ninafanya hii kitu japo kilocal sana na kwa watu wachache sana huku kwetu japo naifanya friendly sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kijundukila

    Ukumbi

    Fanya tafiti ndogo ujue huo mtaa una mashabiki wengi wa timu gani then uite jina la uwanja wao. Mfano kama mashabiki wengi wa Chelsea basi uite Stanfordbridge. Hongera kwa ulichokifanya.
  13. Kijundukila

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Dah!! Kiukweli trend line bangua kichwa nimekomaa nayo siku nne mfululizo aisee leo nimegusa Pivot point duuh nayo ni sheeda. Complex ukipata mdhamini wa kutufanyia upembuzi yakinifu kwenye hili naomba unishirikishe mkuu.
  14. Kijundukila

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Shukrani sana wakuu sisi wengine tunakamua tu vitabu na kupitia mawazo yenu, Bavaria Viking, Ontario mnanipa inspiration ya hali ya juu sana nikiona mnavyotoa maujuzi yenu humu naamini nami one day ntakua nawapa lesson wadau wengine. Mbarikiwe sana
Back
Top Bottom