Recent content by Kijuba Kiumbe

  1. Kijuba Kiumbe

    KERO Kuna kukatika kwa umeme kumeanza kwa kasi nchini

    kwakuwa ni eneo kubwa la nchi umeme hakuna wacha tusubir majibu ya wahusika wenye dhamana na huo umeme
  2. Kijuba Kiumbe

    KERO Kuna kukatika kwa umeme kumeanza kwa kasi nchini

    naandika na kufuta cjui nn nikoment kwa hali ilivyo ucku huu joto ni kali umeme hakuna,inaumiza sana 2024 still Tz tunashida ya umeme wakati tunachanzo kikubwa cha uzalishaji bwawa la MJK
  3. Kijuba Kiumbe

    Naomba kuelimishwa kama ungekuwa na shamba Hekari 30, ungelima au ungelifanyia shughuli gani?

    kwa uko kigoma ukitaka utajiri ingia ktk kilimo cha michikichi,ayo mengine yatakuumiza kichwa usimamizi unataka ela na muda
  4. Kijuba Kiumbe

    Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

    Kwanza pole na huo mtihani,pili sababu Nyeto ndio iliokumaliza ivo achana na nyeto. fanya mazoezi asbh atlist nusu saa u lisaa kuweka mwil sawa sababu iyo haina mfupa iyo c unajua ni misuli
  5. Kijuba Kiumbe

    Waziri wa Mambo ya Nje toa angalizo Raia wa Tanzania wasiende UK

    j Jieshimu ww mpumbavu mmoja,Uislam umekukosea nn? sura kama tako la bibi ako
  6. Kijuba Kiumbe

    Hatimae ndoa ya Shilole na Rommy3D yavunjika rasmi

    jieshimu wewe babu,acha kuongea ujinga ndoa makubaliano baina ya pande mbili na mnaposhindwa uislam haukufanya ndoa kuwa kifungo chamaisha uteseke mpaka ufe.acha kuongea upumbavu
  7. Kijuba Kiumbe

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    hayo unayo yaona yakawaida,hata wangekuwa boyfriend na girlfriend hupishana,kisha wakasove yakaisha Ktk dunia tulionayo kupishana kupo mwisho hukaa na kujuta kisha mkaombana radhi yakawa
  8. Kijuba Kiumbe

    Jinsi Iran ilivyotekeleza shambulio lake dhidi ya Israel

    achana nae usipoteze muda wako na watu wasiojielewa,wao wapo kiiman kuwa watu wa Mungu kajisahau hata yeye mtu wa Mungu
  9. Kijuba Kiumbe

    Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25

    Iko ivi hayo magari yananunuliwa kwa mujibu wa sheria na katiba tulionayo,hata ww ungekuwa raisi usingezuia ilo,
  10. Kijuba Kiumbe

    Nilipoteza kazi akanikataa, sasa anataka turudiane!

    Mapenzi kiongozi hayaingiliwi,ila ktk mahusiano hasa mwanamke akiwa ktk hali ya mimba na ww ulipata changamoto ya kazi lazima mvurugano utatokea ndio maana dini inasema mwanamke akiwa ktk ujauzito haachwi mpaka azae kwasababu huwa ktk wakat mgumu kimwili na kiakili.
  11. Kijuba Kiumbe

    Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    never give up madhali unakaz komaa,je ungekuwa mjasilia mali na biashara haitok? ivo mshukuru Mungu ktk maisha kunapanda na kushuka,usiache kumuomba Mungu uwe na moyo wa subira yataisha ayo piga kazi usikate tamaa
  12. Kijuba Kiumbe

    DPP: Hakukuwa na nia ya kufungua kesi ya Jinai dhidi ya Pauline Gekul

    DPP kashakula ela,ndio maana kafuta kesi. unafutaje kesi wakat mtu kanajisiwa kwa chupa? nn maana haki mahakani? angekuwa kijana wake DPP anajisiwe kwa chupa angefuta kesi?
  13. Kijuba Kiumbe

    Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

    ushauri wa bure ndugu yangu,kukopa harusi kulipa ni matanga miaka 9 ni mingi mnoo kama unauwezo dunduliza pesa yako,nnamkopo wa miaka 4 naliona joto lake nilikopa nikaekeza ktk biashara,plani ikaenda mrama nalipa uku nnaumia
  14. Kijuba Kiumbe

    Sababu za kupata ujauzito wakati unatumia uzazi wa mpango

    south africa wanatumia sindano kwa wanaume miez 6 huwez kutungisha mimba mwanamke,je kwetu hakuna iyo kitu?
  15. Kijuba Kiumbe

    Hii ndio sababu kwanini Nchi hii hatutaendelea hata Miaka Milioni 1 ijayo

    fake life. fake everything naungana na ww Mr fake 😂😂😂 ni ukweli usiopingiza maisha ya sasa hupati kitu bila kutoa kitu so sad 😥😥
Back
Top Bottom