Recent content by kiju

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Wizi wa kura kupitia NIDA na NEC ulifanyika basi sio wanamtandao

    Ccm wanaibaje kura kupitia NIDA? mwenye uelewa atueleweshe
  2. K

    JamiiForums Tanzania Umasikini umekithiri mpaka trafiki anachota mafuta kwenye gari lililopata ajali

    Huyo afande anahatarisha kibarua chake kijinga sana
  3. K

    JamiiForums Tanzania Eneo la Jangwani ni tishio kwa usalama kuanzia mida ya saa 5 usiku na kuendelea

    Hiyo sehemu ni hatari ukikabwa hakuna wa kukusaidia
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

    Watumiaji Tecno utawajua tu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Drones ni muhimu sana kuzima moto

    Hivi huo mkataba ni wa kununua drone peke ake?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani bayern leo kazi ipo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

    Dah mjadala mtamu kweli, sisi huku pembeni tunasoma kimya kimya tunapanua uelewa
  8. K

    JamiiForums Tanzania TRA, accused to be the most brutal authority in the modern history of our country!

    Ku Kuna watu wengine hawajawahi kuuza hata karanga tunabishana nao kuhusu kodi hawatuelewa mkuu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wajomba Tanesco Washafanya Yako Kijichi Mida Hii

    Hadi huku nako washazima nchi sijui nani katuloga.
  10. K

    JamiiForums Tanzania TRA kuwataka wafanyabiashara kurudisha mashine za EFD na kununua mpya ni kuwaua kibiashara

    Kwa kweli huu ni uonevu wa kiwango cha lami kabisa
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gharama za kuendesha msiba zinahitaji nini na ni kiasi gani

    Pumba
  12. K

    JamiiForums Tanzania CUF ipo siku mtamkumbuka Profesa Lipumba

    Huyo Propesa wako ameshindwa kufanya hayo kwa miaka 20 madarakani ataweza sasa hivi?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba kuifungulia kesi benki ya NMB kwa kufunga account kwa amri ya Maalim Seif

    Huyu Profesa anatia kinyaa kwa mambo anayoyafanya
  14. K

    JamiiForums Tanzania TB Joshua: North Korea possesses an unknown arrow that can surprise the world

    Tb Joshua mzee ws lla kuangalia mazingira huyu sip mtabiri
Back
Top Bottom