Recent content by KIJONGA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa certificate na diploma is it possible tar 25/9 kuanza masomo?

    ni kweli ila aikumbuk passwrd ya email,yaan jamaa ni jipu sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa certificate na diploma is it possible tar 25/9 kuanza masomo?

    ok sorry niangalizie S0658/0024/2011
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa majbu haya ya NACTE

    mkuu naomba unisaidie nilimfanyia application kijana fln but kapoteza username na detail zingine akumbuk and mpka sasa hatujui kama kachaguliwa au lah
  4. K

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa certificate na diploma is it possible tar 25/9 kuanza masomo?

    mkuu kuna dogo nilimfanyia application bt detail zote yaan username na passwrd nilimtumia yy ila kavipoteza,nawezaje kumsaidia ili aone matokeo?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    nguvu gani imetumika?mama anaumwa hujawah mpost even once afu unatak kushawish umma kuwa haujalaaniwa,kwa umri wako hukutakiww kuwa hivyo,kitu cha kushangaza ni kwamba kila ovu lazima ulitetee tu,kuanzia bashite vyeti,bashite magari,bashite roma mpka bashite lissu.Kwann unatumia nguvu sana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    alitangulia sawa ila kabla ya kutangulia kwake hujawahi kuonesha kujali uwepo wa mama zaidi ya kuendelea kupost wanawake wa watu,na huyo mange unayejinasibu kushindana naye hamfanan kuanzia ujengaji hoja mpaka kuungwa mkono,kitu pekee ulichompita ni uwezo wa shati lako kufunika vits na kugawa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuzidi kuchelewa kwa Dreva wa Tundu Lissu kuitikia wito wa RPC Muroto unaleta ukakasi!!!

    acha kuongo,ni lini rpc alimuhitaji simon?nachokumbukq alimuhitaj dereva adam huenda akawa ni wa nissan ile
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Duuh afu linajitia utajiri kumbe mama anaish kimaskini mno,mpaka anakufa jamaa aliona aibu kwenda na wadau akaishia kwend pekee kuficha fedheha,laana inamuandama na kAmwe hatofanikiwa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kipanya's IQ

    anamaanisha rip sitta na amejaribu kuoesha kiatu chake kilichovaliwa na ndogae ni kikubwa mno hakimtoshi hivyo nimemvulika hapo akiwa anatembea
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nauza jiko la gesi

    180 kk
  11. K

    JamiiForums Tanzania RPC Gilles Moroto: Tunasikitishwa na dereva wa Tundu Lissu kutoonyesha ushirikiano kwa jeshi hadi sasa

    daa inasikitisha sana,juhud kubwa zinafanyika kuondosha ukwel wa tukio la lissu,kwanza kwa tukio lenyewe la kushambuliwa kwa major tena kwa namna inayofanana na ile ya lissu(kututoa mjadalani ili tuone ni majambaz ndo yalimdungua lissu) pili kumtumia dereva kuwezesha upatikanaji wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa 5M

    3.8 kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    zaman kidogo kwenye radio kulikua na vipindi vya kutuma salam halafu mwisho unamchagulia nyimbo ya kusikiliza,SASA WEWE NAKUCHAGULIA NYIMBO YA MAKU BY NAY WA MITEGO UBURUDIKE NAYO Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom