Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,870
- 6,625
Ndiyo
Inatolewa na chuo gani?
Ndiyo
Afu sikuona vzr nadhani kakosea bila shaka alitaka kutype environmental health science ndiyo nilimaanisha ipo na inatolewa na vyuo vingi sana vya serikali na binafs lakini pia kuna health records and information management,pia kuna health information science huenda yeye alimanisha hii au environmental health sciences hizi ni ndio kozi zilizopo mkuuInatolewa na chuo gani?
Unaruhusiwa ila kama huna sifa za kozi unazozitaka wewe majibu yatarudi hayo hayo ya not eligible (huna vigezo vya kozi husika)Kwahyoo storuhusiwa kuomba tena ama vp
Sante mkuuUnaruhusiwa ila kama huna sifa za kozi unazozitaka wewe majibu yatarudi hayo hayo ya not eligible (huna vigezo vya kozi husika)
Kwenye kufanya maombi kuwa makini na hitaji la kozi unayotaka kuomba,nakushauri kulingana na matokeo yako
Kila lakheri
Ukifanikiwa tuambizane mkubwaKwa aliyefanikiwa kuaply round ya pili ,mbona hakuna sehemu ya kuchagua chuo, wanaonyesha vyuo vilivyo na nafas lakin sehemu ya kuongeza hakuna ,msaada please
Ingia kwenye profile kuna sehemu wameandika chini baada ya Yale ya mwanzoKwa aliyefanikiwa kuaply round ya pili ,mbona hakuna sehemu ya kuchagua chuo, wanaonyesha vyuo vilivyo na nafas lakin sehemu ya kuongeza hakuna ,msaada please
Guide book ina vyuo vyote bila kujar vmejaa au la!, vyuo vyenye nafasi vipo kweny profile yako sehem wameandika make choice hapo ndo watakuletea vyuo vyeny nafasi.Wadau naomba Masada kwa alie fanikiwa ku apply kwa Mala ya pili naomba anieleweshe maana MI nashindwa vyuo vilivyopo kwenye guide book unapotaka kuchagua havionekani msaada tafadhari
Vyuo vilivyo na nafasi nmesha viona tatizo linakuja napotaka ku apply list ya vyuo inayokuja tofauti na vyuo vilivyopo kwenye profile nifanyajeGuide book ina vyuo vyote bila kujar vmejaa au la!, vyuo vyenye nafasi vipo kweny profile yako sehem wameandika make choice hapo ndo watakuletea vyuo vyeny nafasi.
Hapo inategemea na priority yako ni ipi? Either afya au ualimu, kama unatak kuanz na afya ingia kweny profile yako sehem wameandika change category then uset afya kama first priority na ualimu kama second priority , then ukishamalza kuchagua machaguo matano (5) kwa upande wa afya watakwambia inatosha kwa afya watakuletea na na ualimu nako pia machaguo matano. Au unaweza kuishia afya tu ukabonyeza enough choice. Ukichagua ualimu kama 1priority lazma yafke machaguo matano ndo wakuleteh afya. Jarib ivy kwanza mkuu utareda mrejesho, pole sana najua moyo aujatulia kabsaVyuo vilivyo na nafasi nmesha viona tatizo linakuja napotaka ku apply list ya vyuo inayokuja tofauti na vyuo vilivyopo kwenye profile nifanyaje
mkuu naomba unisaidie nilimfanyia application kijana fln but kapoteza username na detail zingine akumbuk and mpka sasa hatujui kama kachaguliwa au lahHapo inategemea na priority yako ni ipi? Either afya au ualimu, kama unatak kuanz na afya ingia kweny profile yako sehem wameandika change category then uset afya kama first priority na ualimu kama second priority , then ukishamalza kuchagua machaguo matano (5) kwa upande wa afya watakwambia inatosha kwa afya watakuletea na na ualimu nako pia machaguo matano. Au unaweza kuishia afya tu ukabonyeza enough choice. Ukichagua ualimu kama 1priority lazma yafke machaguo matano ndo wakuleteh afya. Jarib ivy kwanza mkuu utareda mrejesho, pole sana najua moyo aujatulia kabsa
Hapo username ni namb ake ya mtihan na mwaka. Kama na password kasahau inabd atumie ile code aliofanyia muhamala kutoka voda.mkuu naomba unisaidie nilimfanyia application kijana fln but kapoteza username na detail zingine akumbuk and mpka sasa hatujui kama kachaguliwa au lah