Zitto ni mafiki huyooo, wengi naona hamjui nani walimtuma kuingia Chadema, fuatilia uhusiano wake na kile kikundi chao wakiwa chuo kikuu. Kundi lao lilikuwa limeandaaliwa, wenzake woote wako na position nzuri tuu kwenye kila chama cha upinzani, naona wengi hapa hamjui kilichoko chumbani pale...