Tamasha la Fiesta: RC Dodoma apokelewa kwa vidole viwili!

Swali langu;
Anayehatarisha amani ya Tz ni nani? Anamaanisha tuikatae serikali yetu? Maana polisi ndio wanaohusika hapa kutokana na mauaji, ubambikiziaji makesi, kuhusika na wizi nk. Ikumbukwe huyu RC ndiye alikataza mikutano ya siasa hapa Dodoma saa chache baada ya halaiki ya watu kujitokeza kumpokea mbunge NASSARI kwenye viwanja vya barafu

Hata mtoto mdogo atakwambia ni chadema, licha ya watu wazima tuliokuwepo kabla ya chadema.
 
angemuuliza kwanza mama salma alichokikuta kwa wototo wa shule moja ya msingi walipompokea kwa peopleeeeez......

Wanangu hawaangalii TBC na wanajua anthem za CDM vizuri kuliko nyimbo nyingine,wanapenda peoples power kuliko soka.CCM wanamjua wassira,hawajui Kikwete kuwa ni mwana CCM.
 
Hii imetokea ucku wa kuamkia jana katika uwanja wa jamhuri Dodoma ambapo RC Rehema Nchimbi alikuwa mgeni rasmi katk kukabidh gar kwa mshindi wa fiesta.

Alipanda jukwaani na kusema "Dodoma hoyee" watu wakawa kimya isipokuwa wachache ndiyo waliitikia! Alipowapungia alinyoshewa alama ya Vidole wawili inayotumiwa na CHADEMA.

Kilichonishangaza ni pale aliposema "TUDUMISHE AMANI ILIYOPO KWA KUWAKATAA WALE WOTE WANAOHATARISHA UWEPO WAKE! DODOMA NI SALAMA KWA SABABU YA AMANI"

Swali langu;
Anayehatarisha amani ya Tz ni nani? Anamaanisha tuikatae serikali yetu? Maana polisi ndio wanaohusika hapa kutokana na mauaji, ubambikiziaji makesi, kuhusika na wizi nk. Ikumbukwe huyu RC ndiye alikataza mikutano ya siasa hapa Dodoma saa chache baada ya halaiki ya watu kujitokeza kumpokea mbunge NASSARI kwenye viwanja vya barafu

Rehema Nchimbi ni kada wa CCM. Hana jipya!
 
ona walivo ridhika na cheap popularity......vidole viwili ni ishara ya amani sio kila mtu akinyoosha vidole viwili basi ni mfuasi wa chadema
 
angemuuliza kwanza mama salma alichokikuta kwa wototo wa shule moja ya msingi walipompokea kwa peopleeeeez......

Mkuu asigwa, Pia awaulize wazee wa Magamba Arumeru, ambapo hata vitoto vinavyotambaa viliwaonyesha alama ya V. Magamba wakawalaumu walimu na mayaya kuwafundisha watoto wadogo alama V inayotumiwa na CHADEMA, Kumbe ni kimbunga cha mageuzi tz. !! kwa sasa ccm wanaugua msongo wa mawazo.
 
jf acheni kupotosha. nimepata bahati ya kumfahamu Dr.Nchimbi pale UDSM hakika huyu mama si mlevi wa madaraka na shabiki wa ccm kama walivyo kina mama wengine ndani ya ccm yao. anapenda kazi yake ya kufundisha. nimesikia sikuhizi bado anafundisha chuo cha dodoma huku akiwa rc. hiki kichwa chadema tukikipata kina mama watapiga hatua katika siasa. nimewahi kumshauri aje hapa states apige kazi lakini amekataa, amehaidiwa kila aina ya package nzuri lakini alikataa, sijawahikuona mzalendo kama huyu mwalimu wangu pale mlimani.
kuhusu elimu yake si ya kupewa kama wanasiasa wengine wanavopewa, kasoma degree ya kwanza mlimani, ya pili hapa states, ya tatu hapa states na south africa, ni Dr, PhD wa ukweli.
 
Hii ni Sirikali ya kishkaji na dhaifu mwanzo mwisho!
Babu waziri mstaafu, baba waziri, mama mkuu wa mkoa, mtoto mjumbe wa NEC, mjukuu mjumbe wa NEC ya watoto..
Kazi kubwa ni kucheza dansi, kuzindua matamasha ya teenagers (Fiesta wanangonoana hao!), kutoa matamko, kuhudhuria warsha, kusoma yale magazeti ya kada wao ya kungonoana na kumsifu na kumlambalamba baba Riz1 bhaaaaaaaaaaaaaaasi!
Maisha matamu..
 
Back
Top Bottom