Recent content by kijiweni jr

  1. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 25 ni mingi sana mtu kuwa bado hujakaa kwenye mfumo kimaisha?

    kila nikitafasiri komenti zako inanijia picha kua wewe ni mtu safi sana na mwenye huruma,Mungu akufanyie wepesi kazi za mikono yako wewe na kizazi chako
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

    sema kuna mwanasheria aliwahi kunishauri..
  3. K

    JamiiForums Tanzania Video: Yadaiwa Samaki Mtu (Nguva) aonekana ufukweni

    Na ili ujue maswala ya samaki NGUVA ni stories za kufikirika haijawahi hata siku moja akaonekana NGUVA wa KIUME,sikuzote anaonekana wa KIKE TUU..tafakar chukua hatua
  4. K

    JamiiForums Tanzania Meditation in your daily routine

    samahani mkuu mshana Jr,unaweza jua sehemu ya kujifunza meditation kwa jiji la dodoma
  5. K

    JamiiForums Tanzania Story behind your date of birth

    Tiririka juu ya future yangu mkuu mzizi mkavu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Story behind your date of birth

    mkuu mzizi mkavu..japo Uzi ni wa kutambo kidogo ila Mimi nimezaliwa tarehe 01/01 hebu tiririka mkuu wangu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hebu tujaribu kufikiri, huenda tukawa akina Einstein wa sasa

    Sijui purity ndo nini kwanza
  8. K

    JamiiForums Tanzania Baba alinijali lakini hadi leo sijamzoea kama mama, bado sijamzoea, nini tatizo?

    mkuu kwenu wewe ni wangapi kuzaliwa!?.. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Trump

    l Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    mkuu unaweza nie,haurii Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei halisi ya Pikipiki aina ya Boxer 150cc au TVS 150cc

    kwa mikoani Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Ndo nini hicho mkuu unaweza kuelezea kidogo kama usipojal Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Hahahahaha umenichekesha sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Hahahahaha umenichekesha sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    mkuu tunafanana sana: Mimi mwaka 2010 wakati npo chuo cha cbe dar mzee wangu alikua anaumwa amelazwa muimbili hospital. Ilikua Mara kwa Mara haipiti wiki lazima nimuote mzee wangu amefariki,basi nlikua nalia sana tena sana ukumbuke nipo ndotoni nikistuka najikuta ninamachozi mengi sana. Basi...
Back
Top Bottom