Recent content by Kijiji Balaa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu yamemkuta ya kumkuta, mke amemkimbia, msaada tafadhali

    Waachane maana huyo mwanamke mpaka atakapotendwa na huyo hawara yake ndipo atakaporudisha mapenzi kwa mume wake. Alete balaa tu, au je huku kwetu Kijiji Balaa tumpe darasa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya vyama vya upinzani ya Sept 21, 2013

    Ndiyo ubaya wa kufanya kazi na watu walioongezewa mkataba.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

    Chanzo kingine cha wanawake kuwa na vitambi ni kujifungua kwa njia ya operation. Mwanamke akijifungua hutakiwa kujifunga tumbo lake ili lisiwe kubwa sasa kutokana na kujifungua kwa operation hivyo huchelewa kuanza na kusababisha baadhi ya akina mama kuwa na matumbo makubwa ambayo huonekana kama...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

    Hakuna sawa ya kuzuia hedhi bali mimba.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

    Kigezo kisiwe elimu peke yake bali utendaji mbona wao hawasemi akina Lusinde ambaowanatukana majukwaani au Prof Maji Marefu anaowachanja akina fulani kwenye masbuli yao???
  6. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

    Nenda kachukue buku saba Lumumba kwa kzi nzuri uliyofanya.
  7. K

    JamiiForums Tanzania M23 wamtaja Nyerere kama fahari yao

    Hao M23 ni wababaishaji kabisa, si waweke mamabo wazi kama waaarabu tujue moja.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

    Kuna watu wajinga sana mbona tuna maprofesa wengi sana wametusaidia nini katika siasa??? Non sense.
  9. K

    JamiiForums Tanzania No Comments, Yaaniii Mhhh

    Pamoja na yote lakini kitu photoshop.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Masalia (PM7) wakalia kuti kavu ndani ya CHADEMA...

    Swali la kujiuliza BAVICHA wanaweza kumvua mtu uanachama wake? Mleta uzi kikao hicho kilikaa lini ?
  11. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge wa zamani na Mwenyekiti wa SSRA Siraju Kaboyonga afariki Dunia

    Poleni sana wafiwa, may Almight God rest his soul in peace.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuvumilia, machozi yananitoka.

    Kweli wewe ni DJ Imma!!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuvumilia, machozi yananitoka.

    Nakubaliana na wewe suala la kumueleza wife lakini nalo limekaa kibahati vile vile kupata hicho kifuta jasho!!!! Kwa kuwa kila tukio lina posibility ya 0.5 kutokea ngoja ninyuti tu ila nimekoma kama side mnyamwezi.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuvumilia, machozi yananitoka.

    Najua nitalaumiwa sana na watu kama nyie mkijitia watakatifu hapa jukwaani lakini mioyoni wala si wasafi hivivyo. Jiulize dhambi ziko ngapi na wewe unafanya ngapi kwa siku????
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuvumilia, machozi yananitoka.

    Hujanielewa, ninachosikitika na kuniumiza moyo ni yeye kutoa tigo mpaka kuharibika kiasi kile. Yaani ukiangalia ni kama wale wanawake malaya wa kwenye porno ambao wamekubuhu kwa hali hiyo. Nimeahindwa hata kuelewa wa akili yake kabisa mpaka anafika hapo alikuwa hajijui????? Kuandika hapa...
Back
Top Bottom