Recent content by kijanamdogo

  1. kijanamdogo

    Tanzania nchi yenye siasa za ajabu kuwahi kutokea duniani

    Ulitaka Chadema wamsifie Lowassa alipokuwa CCM? Wewe ndio mtu wa ajabu kuwahi kutokea duniani
  2. kijanamdogo

    Yu wapi Lazaro Nyalandu?

    Mbona hujasema waliko Katambi , Kafulila, na Msando?
  3. kijanamdogo

    Hakimu kesi ya Abdul Nondo agoma kujitoa kuisikiliza; adai sababu za kutakiwa kujitoa hazina msingi

    Mie nadhani huyo Hakimu kama hana interest na hiyo kesi ajitoe na kauli ya eti Mahakamani itapata usumbufu yeye inamhusu nini? Au anataka kuwa kama Hakimu wa mh.Sugu?
  4. kijanamdogo

    Waziri Kangi Lugola jitathmini

    Huyu WAZIRI alipoteuliwa alianza kazi kwa mbwembwe na kudai ataibomoa nyumba ya mama rakwatare iliyojengwa ndani ya hifadhi ya Mikoko
  5. kijanamdogo

    Vyama vya Wafanyakazi vimeshindwa Kuwatetea Watumishi, Wabunge wasaidieni

    Hakika nimeamini kuwa Vyama vya Wafanyakazi Tanzania havina msaada kwa Wanachama wao ambao ni Watumishi licha ya kuwachukilia michango yao kila mwezi. Watumishi wamesimamishiwa upandaji wa Madaraja, waliopandishwa madaraja tangu 2015/2016 hawajarekebishiwa mishahara. Watumishi hawajapandishiwa...
  6. kijanamdogo

    CCM chama bora cha siasa duniani

    Chama bora kinaheshimu Katiba ya Nchi
  7. kijanamdogo

    Polepole: Maendeleo ya watu na vitu, vinategemeana

    SIASA vyuoni ni lea ccm tu UPINZANI hapana hiyo ndio Demokrasia ya Tanzania ya bw.Polepole
  8. kijanamdogo

    Naomba CV za wabunge Esther Bulaya na John Heche

    Nenda website ya bunge
  9. kijanamdogo

    Uchaguzi 2020 Hon.Tundu Antiphas Mungh'wai Lissu for Tanzania 2020

    Chanyaru ,Tundu lissu angekuwa chizi naamini BABA yako angetumwa amkamate
  10. kijanamdogo

    Leo simba inafungwa na Singida fc

    Shombe la aibu tupu kumbuka "This is Simba Brother"
  11. kijanamdogo

    Nashauri uongozi wa klabu ya Simba siku ya kukabidhiwa kombe wachezaji watue/kuondoka uwanjani kwa helikopta

    Ili kuweka historia ya Ubingwa wetu kwa mwaka 2018/2019 Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania ukodishe helikopta ambayo itawabeba mashujaa wetu na kuwatua katikati ya uwanja na baada ya mchezo na kukabidhiwa kombe. Helikopta itarudi tena Uwanjani kuwabeba Mashujaa wetu na Kombe letu hadi liliko Basi...
  12. kijanamdogo

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Lutengano acha chuki mwandosya sio size yako
  13. kijanamdogo

    Mjadala mkubwa wa wanachama, washabiki na wapenzi wa Yanga waliopo JF (Wana Simba hawaruhusiwi)

    Mpira ni pesa mliwabeza Simba kuwekeza bil 1.3 matokeo ya uwekezaji mmeuona YANGA mmeshindwa hata kulipa mishahara kocha kawakimbia .
Back
Top Bottom