Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Simba tumeshinda 1 bila
Tumepiga moja ila we acha tu....wana mtu anaitwa Bata Mbuzi presha tupu.Matokeo wakuu..ngapi ngapi
Huyu Bata anafaa sana pale unyamani ni fundi mnooo aisee!!!Tumepiga moja ila we acha tu....wana mtu anaitwa Bata Mbuzi presha tupu.
Sawa, tumekusikiaLeo lazima Mnyama anyofolewe nywele kudadadeki...
Tumepiga moja ila we acha tu....wana mtu anaitwa Bata Mbuzi presha tupu.


