Yu wapi Lazaro Nyalandu?

Yu wapi Lazaro Nyalandu?

Anajisuka na kujipanga kupokea mikoba ya 'jiwe' 2020!
 
Aligombea ubunge akitegemea nafasi ya uwaziri..Ikawa tofauti akabaki na ubunge tu..Kibaya zaidi ubunge wa sasa ni usumbufu
 
Amejaa tele anakula bata kwa kwenda mbele,ni CEO kwenye Makampuni yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom