KABLA KUOWANA
Mvulana: Kutoka zamani nina subiri moment hii,
Msichana: Wapenda niende zangu?
Mvulana: No no no no,
Msichana: Wanipenda kweli?
Mvulana: Bila shaka,
Msichana: Ukimpata msichana mwengine utanitupa?
Mvulana: Ni vigumu sana mimi kufanya hivyo,
Msichana: Ungependa tushikane mikono...