Sword
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 864
- 184
which means geography inakupiga chenga.gaza iko blockaded.
Hapa naona ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa huku ukitegemea akuchezee mayenu. Hawa wagalatia hawatokuja kuelewa, uelewa wao kwa ujumla ni finyu mno, na ndio maana hata hicho kitabu ambacho wao wanasema wanakiamini lakini wameshindwa kukielewa, sasa hapa unatarajia nini? Hawa wamezoea kupelekeshwa kibubusa, hakuna kuhoji, ati huambiwa mpaka roho mtakatifu amshukie kondoo ndio anaweza kuelewa, hawa ni wapuuzi kabisa, wakishavaa tai na kuchamba kwa makaratasi basi wao hujiona waelewa mambo. Kingine hawa kondoo huambiwa roho mtakatifu huwashukia makadinali na wenye vyeo kama hivyo, hivyo basi kondoo mpaka anakufa hatokuja kuhoji ataendelea kupokea kile anachoambiwa kimetoka kwa roho mtakatifu kupitia kwa makadinali walawiti.
Siku hizi imedhihirika zaidi kuwa huyo roho mtakatifu amekua ni roho mtaka vitu maana hivi sasa makadinali wanaongoza kwa kuwageuza kondoo na hii hawafanyi wao kwa matakwa yao ila ni yule roho mtakavitu ndie anaewatuma kufanya hivyo.
Kwa pamoja tuseme: Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun