Recent content by kijana makini

  1. kijana makini

    JamiiForums Tanzania Habarini wakuu hivi nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi hadi finishings?

    Kuna wataalam wanaitwa "quantity surveyors" ndio wahusika wakuu wa kuchenjua gharama za ujenzi kuanzia mwanzo mpk mwisho wanakuandalia kitu kinaitwa "bills of Quantities" maarufu km BOQ na "schedule of materials" ktk hatua zote za ujenzi; however gharama za ujenzi zinaathiriwa na location ya...
  2. kijana makini

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa

    Hawa majamaa wanapenda sana media for attention, Yani 😁😁 Hawa jamaa wanapenda sana media kuseek attention...Yani Umeme umekaa sawa kdg tu washawahi kwenye mic kubwabwaja
  3. kijana makini

    JamiiForums Tanzania RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

    Nd Ndio maana mbele watu msiba wa mtu maarufu wanafanya very private
  4. kijana makini

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    😂😂
  5. kijana makini

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

    Mbinumbinu tu za kupata comments ..haya natumaini umeridhika sasa Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
  6. kijana makini

    JamiiForums Tanzania Haniridhishi jamani

    Je wewe unamridhisha isije ikawa wewe ndio gogo..na yeye kwa ugeni wake kwako kjn wa watu anacheua fasta
  7. kijana makini

    JamiiForums Tanzania Famous quotes by Famous Tanzanians

    kuna watu wanafikiria kwa makalio - Masaburi
  8. kijana makini

    JamiiForums Tanzania Pichani, Daraja Kigamboni hiloo... Kigamboni yakufikirika yawa kweli

    daraja hili likikamilika litakuwa na njia sita za magari kulifanya kuwa daraja kubwa kuliko yote Afrika mashariki
  9. kijana makini

    JamiiForums Tanzania kwa mwenye uzoefu na water pump msaada

    jaribu water pump type PEDROLLO ni nzuri
  10. kijana makini

    JamiiForums Tanzania Akina dada's, eti huwa mnapenda lips zetu?

    :blah: mwanaume pesa lips ushoga..
  11. kijana makini

    JamiiForums Tanzania Faida za Parachichi katika mwili wa Binadamu

    Very well said..
  12. kijana makini

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Kanumba, kamati yapiga hela ndefu

    hata yeye mwenyewe kanumba aliimba kuwa adui zake wangebeba jeneza lake..ona sasa yaliyotokea..daamn
  13. kijana makini

    JamiiForums Tanzania Bamaga:pale ni sinza,mwenge au kijitonyama?

    Ustawi wa jamii iko kijitonyama
Back
Top Bottom