Famous quotes by Famous Tanzanians

Tatizo watanzania wana wivu wa kike - Ben N'kapa.

JM Kikwete ni chaguo la Mungu - Achkofu

Hata kama anapendwa kubebwa kama maiti, mwacheni - JKN (RIP)

Kama Mbuyu Twite na mwili ule analala kitanda kimoja na Nsajigwa unategemea Timu ishinde? - former coach Yanga
 
Tatizo watanzania wana wivu wa kike - Ben N'kapa.

JM Kikwete ni chaguo la Mungu - Achkofu

Hata kama anapendwa kubebwa kama maiti, mwacheni - JKN (RIP)

Kama Mbuyu Twite na mwili ule analala kitanda kimoja na Nsajigwa unategemea Timu ishinde? - former coach

Yanga

Hiyo ya mwisho nimeipenda maze.
 
Majaji wa kujaji wanaoteuliwa na asie Jaji watajuaje kujaji? (By: Borakufa of JF)
 
umoja ni Nguvu WaTz tuwe na Umoja, kama Mavi ya Ng'_ombe Tusiwe kama Mavi ya Mbuzi".AAK-RIP
 
"Hii sio jumiya ya mavazi na kusuka nywele" Jk akirusha vijembe kwenye jumuiya ya wanawake wa CCM wiki 2 zilizopita
 
Wasichana wanaobeba mimba mashuleni niviele ele vyao - J.K

Kama ni kura sitaki kura zenu - J.k akiwaambia waalimu

Hata mimi sijui kwa nini watanzania ni maskini J.K

M/kiti hakuna jambo nililofanya hukulijua, kila nilichofanya ulijua - Lowassa akimchana J.K
"kama ni kura sitaki kura zenu" aliwaambia wafanyakazi wote sio waalimu tu.
 
Tatizo watanzania wana wivu wa kike - Ben N'kapa.

JM Kikwete ni chaguo la Mungu - Achkofu

Hata kama anapendwa kubebwa kama maiti, mwacheni - JKN (RIP)

Kama Mbuyu Twite na mwili ule analala kitanda kimoja na Nsajigwa unategemea Timu ishinde? - former coach Yanga
hiyo ya mwishio nouma
 
Hata mimi sijui kwa nini Tanzania ni masikini - JK.
Mimi na JK hatukukutana njiani - EL.
Kazi ya kichwa si kufuga nywele - Werema.
 
Polisi ni chombo cha kulinda amani, mali na maisha ya watu wake; si chombo cha kuwaua.
– Ali Hassan Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Ndani - Januari 22, 1977
 
Back
Top Bottom