utanipa darasa gan mi mwenyewe kijana darasa we fox,mbna umeshamaliza umesema ukawa hawana hoja sasa walete hoja gan tena hujisomi,?ukawa sio chama wala haina bendera ni umoja wa katba ya wananch,hata wwe ni ukawa kama mtanzania,,,hujisom
ilo lishakuwa tatzo,na hii fashen haiishi inaboreshwa tu,,tujifunze kuwa vibur tu princple yangu luk at once only,hata iweje sirudii navunga bora macho yanilaumu
Tatizo wenyewe huwa mnaanza kuwachekea muonekane mnafaamika sehemu za starehe,ili siku ukiwa na mgen wako akuone mwenyej viwanja ivo,,baunsa hawez kukuanza tu we una zako,,polen na stres na uchovu unaotolewa na vileo
dah mi bado sijui itakuwaje mana sijawah panda lift kila ikinihusu nakwepa nko radh nipande ngaz had nitoe jasho,pia nilikuwa kwa semina ubungo plaza nilikwepa ngaz za umeme dada mmoja alianguka nilimcheka mi nikatumia ngaz zetu zile,dah yangu sijui itakuwaje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.