Kwa mara ya kwanza ulipopata taarifa ya kifo cha J.k Nyerere ulijisikiaje?

Frankly kwa wakat ule Sikuona tatzo ila effect ya kile kifo inaonekana ss wakat ambao Tanzania inahitaji kiongoz kama NYERERE.
 
Nilikuwa safarini kikazi. Nilipata low blood pressure katikati ya umati. Waliona tu naanza kutangulia chini wakanishika. Nikakalishwa kidogo pumzi zikarejea. Wengine tutamlaunu ila mimi sitaisahau elimu yake na afya bure. Niko nilivyo partly kwa sababu yake kwa misingi yake kielimu na kiafya. Rest in Peace baba.
 
kumbe mdogo wangu mie nlkuwa darsa la 4; nakumbuka nilitumwa ofisini kuchukua chaki ndipo nikakuta walimu wanamsikiliza mkapa akitangaza kifo hicho

Kumbe tunabishana humu na watoto wetu kila siku,
 
Kwa kweli mimi nilikuwa form 2 pale Makongo na nilipotoka shule mchana wa saa sita na nusu na kukuta watu wamejazana kwenye runinga maeneo ya mlalakuwa raisi mkapa akiwa anahutubia kuhusu kifo cha mwalimu niliuliza kwani huyu nyerere ni nani ila ki ukweli nilipofika nyumbani na kuangalia mambo aliyoyafanya machozi yalinitoka, tulikuwa tumepoteza jembe la ukweli....
 
hv Nyerere ana mchango gn tz vtabu vng pale mliman vnamponda tn sn ktk uchumi ila wht i know kawasaidia sn wakatolik ndo maana anakuzwa sn Tundu lisu was right angekuwa bado rais bado tungekuwa nyuma sn
 
Nakumbuka kama haikua saa kumi basi ni saa nane na kiredio changu cha bendi moja ya am, na chunga zangu mbuzi baada kutoka shule ndio taarifa naziskia,BABA WA TAIFA KATUTOKA mara nyimbo za komba,mara ya kwanza kusikia mtu alie kufa anaitwa HAYATI badala ya marehemu, 99 ile bwana sataisahau kwa kweli nilihuzunika si kwasababu ni NYERERE bali kifo cha mtu yoyote kilikua kinaniuma sana, lakini kwa upande mwingine ilikua raha hatukuenda shule kwa muda mrefu! MUNGU AMLAZE PEMA
 
Kumbe tunabishana humu na watoto wetu kila siku,

Hamna shida kama mtu ana urgue na anaeleweka umri wa nini, hapa hakuna chq babu waka mjuu, hili ni jukwaa and anybody is entittkled kushiriki bahat mbaya wengine mambo kama haya yamewakuta tayar umri unawakataa,

Any way by that time nilikuwa form 2 pale makongo secondary na nikiwa natoka shule ndo nakuta watu wamesimama vikundi vikundi wakisikiluza hotuba ya raii mkapa.

Nikajiuluzq hivi huyu Nyerere ni nani lakini nilipokujq kukaa na kumwqngalia vizuri nilimkubali kamanda wetu.

R.I.P Sir Nyerere.
 
unaikumbuka Makongo ya Miraji?
 
unaikumbuka Makongo ya Miraji?

Sana yan, ki kawaida hakuna makongo bila ya miraji na kwa sasa sijui madogo wana mirajigan, maana sikumoja nilijutana na babu chacha maeneo ya kinondoni miaka ya hivi karihuna akaniambia amesha staaf jeshi, da makongo ilikuwa na mbwembwezake ingawa kwa kipindi kile tulikuwa tunajiona kama tupo jehanam vile.
 
Uh uh uh uh........nakumbuka kuna mzee mmoja mkinga alikuwa amepanga homu aliangua kilio km mtoto. Aliposimulia kuwa jabali Nyerere kafariki na mm nikaanza kulia
 
Nafikiria akifa kikwete itakuaje km sio riz1 pekee ndo atasikitika na kulia labda na vimichepuko vyake
 
hv Nyerere ana mchango gn tz vtabu vng pale mliman vnamponda tn sn ktk uchumi ila wht i know kawasaidia sn wakatolik ndo maana anakuzwa sn Tundu lisu was right angekuwa bado rais bado tungekuwa nyuma sn
Wahenga walijaaliwa misemo iliyoshiba maana" mfano: kwenye msafara wa mamba na kenge wanao" we ni kenge
 
Sana yan, ki kawaida hakuna makongo bila ya miraji na kwa sasa sijui madogo wana mirajigan, maana sikumoja nilijutana na babu chacha maeneo ya kinondoni miaka ya hivi karihuna akaniambia amesha staaf jeshi, da makongo ilikuwa na mbwembwezake ingawa kwa kipindi kile tulikuwa tunajiona kama tupo jehanam vile.

daah apumzike kwa amani afande Miraji
 
daah apumzike kwa amani afande Miraji

Yap kamanda wetu mzee makwenzi,yan ilikuwa ukipigwa na kwenzi la miraji ni bora upigwe ngumi na watu watatu, maaana alikuwa anaiangusha kama nyundo kichwani.

Da RIP Sir Miraji.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom