Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.Naweza nikasema nijitahidi sasa nisifanye nifocus na mambo yangu ya kazi n.k...
Nyege mbaya asee nimeamka asubuhi na nyege balaa nikaingia mtandaoni nikatafuta Malaya tukakubaliana 100k body to body massage na sex
Nikamuelekeza fresh akaja picha linaanza kajichora tattoo kinoma nikasema sio mbaya dah akanipiga massage ya uongo na Kweli na mafuta ya minara hapo tukaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.