Recent content by Kijamba Koti

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wataalam wa kudowload vitabu kwenye internet

    hapo kwenye bold inaonyesha ni jinsi gani ulivyo "facebook addicted"
  2. K

    JamiiForums Tanzania Unamjua kichwa wa ICT?Hebu ingia hapa...

    Haya haya wadau,nimeamua kuleta mada hii baada ya kujitokeza kaubishani kidogo somewhere juu ya nani zaidi katika sekta ya ICT kati ya IT geek,injinia wa computer,mwanasayansi wa computer au injinia wa mawasiliano(telecom)!Kama wewe ni mmoja wapo hapo au una mchango wowote,hebu funguka with...
  3. K

    JamiiForums Tanzania BCom ya UDOM mashaka matupu - Department Haina Majibu

    Kwanza mtasomaje biashara nyie,businessmen are born naturally,Chagga Oyeee!!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sponsorship za Masters nchini Tanzania

    Acha kukatisha watu tamaa,mbona mimi nasomeshwa bure!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Doctor of vertenary iko pouwa??

    Kibongobongo utasubiri sana!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili dk ndalichako ajivue gamba tu

    Acheni upumbavu,mnataka ajivue gamba kwa misingi ipi?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada:Kwa walisosoma Bachelor of Science in Civil Engineering

    Yaani wewe ni mpuuzi wa mwisho,hakuna hata msaada uliomsaidia dogo hapo zaidi ya kutoa kauli za kujiproud tu!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada:Kwa walisosoma Bachelor of Science in Civil Engineering

    Acha kupandikiza mawazo hasi,kwani vyuo vingine vina nini!acha ubabaishaji kwenye masuala ya elimu!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hali ya hatari kwa maeneo ya vyuo vikuu vyote vilivyopo Dodoma

    Acheni uk*ma kujadilijadili ubora wa vyuo!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada:Kwa walisosoma Bachelor of Science in Civil Engineering

    Kwa nijuavyo miaka 3 ni kama una Full Technician Certificate(FTC) or diploma NTA Level6 from technical colleges eg DIT,ATC or MIST na hiyo miaka 4 ni kama umetokea A-level!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hello Kijamba Koti hapa!

    Niaje wana!
Back
Top Bottom