Msaada:Kwa walisosoma Bachelor of Science in Civil Engineering | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:Kwa walisosoma Bachelor of Science in Civil Engineering

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ProBook, Jun 1, 2012.

 1. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Kwa brothers and sisters mliosoma hiyo course hapo juu nlikuwa naomba kuuliza kitu kuhusu hiyo course sababu nimeona kwa UDSM na Ardhi ni miaka 4 lakini kwa St Agustine ni miaka 3,sasa nlitaka kujua je kuna ubora tofauti wa ufundishaji kutoka kwenye hivyo vyuo na je kama kuna utofauti chuo kipi ni bora zaidi kati ya vyote na soko la ajira kwa hiyo course likoje,,
  Asanteni sana
   
 2. K

  Kijamba Koti Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nijuavyo miaka 3 ni kama una Full Technician Certificate(FTC) or diploma NTA Level6 from technical colleges eg DIT,ATC or MIST na hiyo miaka 4 ni kama umetokea A-level!
   
 3. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  aisee kaka kwenye kitabu cha TCU cha mwaka huu chuo cha St Agustine wametoa qualifications kwa waliomaliza diploma na advance na wote ni miaka 3
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  We kapge civil ya udsm au ardhi ndo za ukweli dogo.
   
 5. K

  Kijamba Koti Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kupandikiza mawazo hasi,kwani vyuo vingine vina nini!acha ubabaishaji kwenye masuala ya elimu!
   
 6. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  hii ni sawa na kulinganisha Shule ya Sekondari ya Kata na Shule Kongwe!
  Vichwa wanajua wanapaswa kuwa wapi,
  Kilazaaa...!
   
 7. K

  Kijamba Koti Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaonge u**ma!
   
 8. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kijamba Koti sijakusoma eti! hizo nyota manake nn?
  hata hivo sikushangai make hata jina lako tu na umri ndani ya JF
  vinatia mashaka!
  unahitaji kusuguliwa "JICHO" lako la nyuma!
   
 9. K

  Kijamba Koti Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani wewe ni mpuuzi wa mwisho,hakuna hata msaada uliomsaidia dogo hapo zaidi ya kutoa kauli za kujiproud tu!
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  toka lini tanzania na marekani zikawa sawa kimaendeleo!dogo anaambiwa ukweli,we unaleta chuki humu.
   
 11. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mbona mnatukanana jamani,siyo tabia nzuri hii wapendwa!Kuhusu mada,ndugu yangu nenda Ardhi,UDSM utaishia kuuza sura tu!
   
 12. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Thanx Sana Bro
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Dogo Civil Engg ina future nzuri,piga Btech ya Civil halafu angalia utakavyouza...Utaringa mwenyewe wapi pa kwenda...I dnt care where u go bt Btech is goodAlways Engineers Build the World.....
   
 14. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  thanx sana bro..
   
 15. H

  Hardman JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 597
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  mkuu hapo juu unamaanisha nini unaposema Btech???..natanguliza shukurani...
   
 16. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkubwa!....asikudanganye mtu,nenda kapige hiyo course.Ila tu kuhusu swali lako,hiyo ya miaka mitatu ni kwale walio na diploma civil engineering.na kwa wale waliotoka A Level hupiga miaka 4.narudia tena,kapige hiyo corse uje ule kuku,ukianza ni Pm nikuchangie ya stationary japo kidogo
   
 17. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  poa poa kaka nimekusoma sana thanx a lot,,let me apply hiyo bila kuchelewa
   
 18. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kula shortcut ya 3yrs SAUT.
   
 19. n

  ndisinzowa Member

  #19
  Jun 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mdogo Wangu,karibu sana udsm na hasa koz hyo ya ce ndo chagua sahih,mim pia naxoma hyo koz ndo namalizia 4th year,.ardh wanakuja ku2mia lab za ud na vitu kbao wanategemea hapa kwetu.jaza udsm dogo bt kaza msuli..kila la her mhandisi mtarajiwa
   
 20. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #20
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  asante sana kaka tupo pamoja sanaa...
   
Loading...