Doctor of vertenary iko pouwa??

nasikia eti wanamusoma mpaka kunguru? Hii ni kwel au
 
duuh kwa iyo nikixomea hii kozi mambo ya chuchuz niweke pembeni?
 
duuh kwa iyo nikixomea hii kozi mambo ya chuchuz niweke pembeni?

kama utataka kugraduate ukiwa 1st yr kaendekeze huo umalaya wako,ila kama utataka kugraduate baada ya miaka mitano kapige shule.
 
daahh kweli kaka maana mbunye na masomo haviendani kabisaa
 
umeisomaa hii kozi au waleta mzaha mbona miguno mingi?
 
Kaaaazi kwelikweli sasa nzi,mbung'o na sisi mizi wanasomwa ili iweje labda???? kuuliza si ujinga....
 
mmh itabidi niondoe hii kozi..!! Kwa sababu nasikia malipo yake siyo kivile afu msuli wake ni zaidi ya advance level
 
vp jamani hii doctor of vertenary medicene inalipa hapa kibongobongo au ni miyeyusho maoni yenu wakubwa

iko poa, ila mziki wake si mdogo, hata wale wa mhimbili cha mtoto. unaweza kumaliza ukiwa mwehu pale SUA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom