Jaji anajaribu kuziba mapungufu yaliyojitokeza kwenye hotuba ya rais na hilo ni jambo la kawaida ukizingatia hiyo hoja inaangukia kwenye taasisi anayoiongaza yeye jaji
Chief yuko sahihi otherwise utuambie sababu inayokufanya umchukie, haiwezikani eti humpendi bila sababu, je kipi kilichokufanya uende kumtongoza au ulilazimishwa? Vingenevyo unachangamsha baraza baada ya kuona hakuna mjadala unajadiriwa,
Lugumi inakujaje hapa wakati umeelezwa sababu ni kulewa wakati wa kikao, kumfuta kazi haitoshi apelekwe mahakamani kwa kosa la kukahidi amri ya rais ya kutokunywa vileo saa za kazi
Tatizo letu ni pale hatusikilizi kile kinachosemwa bali tunaangalia nani kasema na kama ametoka Chama changu au Chama kingine, tukubaliane kwamba upinzani nao wanamchango wao katika ujenzi wa taifa tusiwachukulie kama maadui
Hatupingi ila tunasema hili tukio limechelewa sana, nchi iliyopata uhuru miaka 55 iliyopata ilitegemewa hii ingekuwa flyover ya kumi kama siyo ya ishirini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.