Recent content by kiherehere10

  1. K

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda afunguka

    hata ufunguke vp makonda hutaweza kuwa msafi kwamba wewe uliwapiga wazee wa chama na kwamba ulishindwa kutumia vikao halali vya chama ukamtukana mwanachama mwenzio hadharaniii
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kilele cha Kejeli: Kikwete Umenikwaza... "Barua ya Mkosaji"

    mzee mwanakijiji umenena yaliyobora ila kwa walio bora kamwe c kwa kanyaboya kwani hata ukimkanya ataendlea kuwa boya
  3. K

    JamiiForums Tanzania CV YA Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu 2014-2015

    iv kuna vigezo vya kumpata wazr kweli au mukulu mwenyewe ndo huwa anaamua?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Unatabiri nini kwa ziara ya Kikwete Kilimanjaro?

    miradi mingine ya maendeleo angeweza kuizindua hata huyo gama mwenyewe, tutegemee tu watu kutoka mikoa ya karibu kwenda kuipamba mikutano hiyoo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba Afikishwa Mahakamani, akimbizwa kliniki ya UN baada ya Afya yake kubadilika

    tungefurahi kama majambazi waliouwa kule rufiji vinginevyo ni upuuzi tuuu mbona kinana akienda kufanya maigizo yake kule mikoani haombi kibali na analindwa mpaka na watu wa usalama wa taifa? pumbavuu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

    nashangaa sana et huyu nae anautaka uraic.... nakunbuka ile issue ya ugaid ya rwakatale roho inauma sana huyu jamaa alvyokuwa anahukumu bungenii
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye atoa Tamko Maalum la CCM kuhusiana na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini

    huyo mropokaji tuu na masters yake ya kununa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    hatimaye tumbili kashindaaa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kutikisa Jimbo la Isimani,Lukuvi aanza kubambikia Vijana kesi Polisi

    huyo lukuvi na vijitabia vyake vya kujikweza huku hata vyeti kadanganya angekuwa kiongozi muhimu c angekuwa afisa uhusiano bungenii?
  10. K

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    nilijiunga na nmb kwa ajili ya mshahara vinginevyo huduma ni mbovu na cwezi kumshauri mtuu ajiunge na nmb wajinga wakuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya mambo kuwaendea Kombo, viongozi wa UKAWA wajiandaa kujitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    tuambie kwann hakukuwa na uhamasishwaji wa uandikishwaji? iweje ujio wa mwenge utangazwe kila kona ya kijiji na zoezi la uandkishwaji lisitangazwe kabisa? iv kwa serikali ni kipi muhimu kati ya hivyo viwili? lizabon unaijua tz kweli mkuu au unaishi lumba tuu? hujui kuwa ccm walianza...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna "logic" ya kwenda uwanja wa taifa kuazimisha miaka 53 ya uhuru?

    kinachonichosha nikuwa kila mwaka vilevle kuingia uwanjani, gwaride, halaiki nk yani hata ukiwa ucngizini unajua ratiba ya kesho
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaolalamikia Mapingamizi ni CHADEMA tu na si UKAWA?

    mwembe wenye maembe ndo unaorushiwa mawe... hivi we lizaboni unafikiria kwa kutumia nn? halafu mbona huwa huongei lolote bila kuitaja chadema?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    napita tu
Back
Top Bottom