Mkuu hali ya maisha imekuwa mbaya sana inafika wakati kijana anawaza kiasi cha pesa kitakacho tumika wa mzunguko wa hiyo kitu mwisho wake anaamua kutafufa shortcuts
Hakika ni ajabu tunaposema kila tukio tuiache dola ifanye kazi yake inafikia wakati matukio mengine yanatokea wazi wazi lakini hicho chombo cha dola hakina majibu chanya hata tukio moja
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.