Kutongoza ni janga kitaifa

Kutongoza ni janga kitaifa

baadhi ya vijana kutongoza ni janga kubwa kwao na wengi wao wanajikaza kisabuni kumalizia hasira zao kwenye punyeto, na hili naliona ni janga kama lilivyo tatzo la ajira tu nchini
Wanamuheshimu Mungu wa Mbinguni wanasubiri hadi ndoa halali. Kama ni wahanga wa punyet nawaasa waache Mungu hapendi. Fikisha ujumbe huu kwa jirani yako mwenye tabia kama hii..
 
Wanamuheshimu Mungu wa Mbinguni wanasubiri hadi ndoa halali. Kama ni wahanga wa punyet nawaasa waache Mungu hapendi. Fikisha ujumbe huu kwa jirani yako mwenye tabia kama hii..
Asante mtumishi.
 
Mkuu hali ya maisha imekuwa mbaya sana inafika wakati kijana anawaza kiasi cha pesa kitakacho tumika wa mzunguko wa hiyo kitu mwisho wake anaamua kutafufa shortcuts
 
Wengine ukiongea nao, majibu yao tu yanaonyesha kama ana vuta bangi au mlevi kwa majibu yake tu,

Na hapo ni pale mwanzomwanzo tu wa story je mkiendelea na story kweny ile stage ya kushusha vocal si ataanza kuongea kama ana mapepo vile, yann yote hayo bora uonekane domo zege kwa kutunza heshima yako sio kuharibiana cv mchana, mchana wakati huo mtu nwenyewe unae mtongoza kwa kukuangalia tu hana mbele wala nyuma,
Kila anapoitwa anaenda..upumbav gan huo bhana alaaaaah...

Let them get the hell far from us...

The way they cust bad to us is the way they curse them selves and become a budden to their entire life.

Napambana na hali yangu bhana mapenzi baadae.
Kuna li manzi niliwahi kulitokea likapiga nje kesho yake likanipitia mtaani na kiboy chake nikasema poa sana ni maisha tu ndio maana wakati mwingine bora chapa ilale ila sema age inabidi kufanya maamuzi
 
Ni kweli mkuu, alafu kanuni nzuri ya kutongoza usimlenge dem mmoja date nao kama watatu hivi ambao umewa target fresh ili ata akizingua mmoja tayari hawa wengine unaendelea mpaka wote watatu waishe utakuwa ushapat kama sita wa kudate nao so still game is static with trimph continuation
 
Dah...!!

Mambo mengine magumu kuchangia.
 
Shida yote ya nini mkuu?dawa ya hawa watu ni miamala tuu.
 
Back
Top Bottom