Recent content by Kiguu na njia

  1. K

    JamiiForums Tanzania Orodha wa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya CHIT CHAT

    Taarifa mhe. spika. Naomba kumfahamisha mchangiaji aliyemaliza hivi punde kuwa Uenyekiti wa Mabumba ulikwisha koma tangu April mwaka huu na nafasi yake imechukuliwa na mhe. Seif Khatib
  2. K

    JamiiForums Tanzania TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

    safi sana!! kwa mtindo chadema hawana chao! kufikia Sept 2015 wheshimiwa madiwani wetu, wakulima na ma barmade watakuliwa wanakula nondo!! kura kwa ccm 2015.!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye Soft Copies za level 4 - PSPTB

    mie nafanya P.1 . mtihani ni tarehe ngapi??
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

    elimu yako ndiyo kaburi lako!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ndesamburo: Ngumi zitapigwa bungeni

    ungesoma na kuelewa alichosema Mhe. Mzee Ndesapesa usingekurupuka kiasi hiki!. hata hivyo si kosa lako!
  6. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaandika historia kwa kushinda ndani ya ngome ya CCM

    vijiji vingapi vimefanya uchaguzi?? CDM wamepata vingapi na vyama vingine vimeshinda vingapi??
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Lema kwa kiswahili

    Isango asante kwa contribution yako! sijadownload bado but ingependeza utuwekee version zote manake wengine hatujaona hata hiyo ya kingereza!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nauza zao la Dengu ipo Dodoma

    Nauza dengu nyekundu ipo Dodoma, ni zaidi ya tani mbili (2), Anayenunua ani-inbox ili tupatane bei..! Haina mchanga wala takataka.!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    kuna uwezekano kuwa CHADEMA wamewekeza zaidi katika kuwanadi wagombea wao bila kufanya maandalizi ya awali kuhakikisha wanahamasisha wanachama wengi na wanaokubalika na local community na hatimaye kupata best candidate miongoni mwao. pamoja na kuwanadi wagombea CDM wahakikishe wana best...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Picha: UVCCM-Dar wapokeana kwa kutwangana

    hatari...!
  11. K

    JamiiForums Tanzania BOMU la LISSU jijini ARUSHA

    akili the brain....!! Mhe. Lissu big up..!
  12. K

    JamiiForums Tanzania RC Merck Sadik aache kujipendekeza mbele ya Rais, awataje viongozi wa upinzani wanaopinga sensa

    alisema ni chama ambacho kimekuwa na mtazamo wa udini kwa zaidi ya miaka 10!! na kama inavyojulikana alilenga kuwasema CUF lakini hakuweza kwa kuwa CUF ni sehemu ya serikali ya ?mapoinduzi Zanzibar. ingekuwa CDM wanahusika asingemung'unya maneno hata kidogo manake ingekuwa sehemu ya kujiongezea...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwingira atangaza mwisho wa CCM 2015

    duh...! huyo atakuwa Mwingira mwingine, Mtume na Nabii Josephat Mwingira hajatamka hayo uliyoandika wewe....!!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwingira atangaza mwisho wa CCM 2015

    "Mwingira ni mtume na nabii wakati Kakobe ni Askofu yaani kiongozi mwangalizi" aliingilia kazi za kina nabii Mwingira..!! bila shaka umeisoma hiyo mkuu....!!
Back
Top Bottom