Recent content by KIGOMA KWETU

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    .. ni jambo la sekondari kama sio la msingi, nani atasimama kati ya hawa? Mbatia,lipumba,mboe,slaa wote hawa ni ni waroho wa madaraka alafu kitu kingine wangemtoa mbatia na marando kwanza ndo wakaendelea hawa ni vibaraka na kila mtu anajua,wasipofanya hivyo hakuna muungano hapo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Fastjet tukumbukeni na Kigoma jamani!

    Nafikiri uwanja ndio tatizo,wala so uchawi kama alivyosema gala mmoja
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kanzu/baibui liwe vazi la taifa

    Hii nizaidi ya bangi
  4. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

    sijakuelewa ni ikulu ipi unayozungumzia ndugu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake watia aibu bunge la katiba

    acha kuwakashifu mama zetu bila wao wewe si ungetupwa chooni,mbona hausemi yule anayesema kiapo cha vikundi,
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sasa narudi bongo na ndinga kali!!..mbebez wakarez mjiandae!!

    Jamani mod tupeni muda kidogo tumshambulie huyu shoga
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bango litakalo tumika kumuuza Mgombea wa CHADEMA uchaguzi wa KALENGA.

    ..huyu mama ni chaguo la viongozi wa chadema si chaguo la wana kalenga msitudanganye,chaguo lao mlilikataa
  8. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamethubutu wakaweza, ni zamu ya CCM, wataweza?

    ..hapa hakuna ushabiki maandazi tatizo lenu mkipenda mnajisahau,tuliwaamini sana cdm lkn kwa sasa hakuna kitu bola chama cha mch. Mtikila, hakuna chama cha mafisadi kama cdm
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    We subiri umuone atakayekaushwa mate,mnafikiri kila anayechangia hapa ni ccm,mtajuta
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

    kasome acha umbumbu wewe,utakuwa unatokea moshi wewe kwa mbowe
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ziarani: Mikutano ya Desemba 5, Kakonko, Kigoma

    jamani r.i.p chadema, mkubali msikubali hii imekula kwenu mtabakia kutuwekea picha za mwaka 2010, mkutano ulikuwa wa wauza nyanya ya kakonko si wanachama wa chadema
  12. K

    JamiiForums Tanzania Denti Amburuza KAPUYA mahakama ya Mwanzo kwa Tuhuma za Kumbaka na kumwambukiza UKIMWI..!!

    nyie tanzania daima mna matatizo, message inasoma mpesa number ni ya kapuya ni ya airtel mbona haviingiliani na vodacom
  13. K

    JamiiForums Tanzania twendeni tukampokee Rage

    mkampokee kwa lipi analowaletea nyie acheni mambo huyu jamaa anatuaribia timu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

    chadema kwishinei
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa sms za m-pesa kutoka kwa kapuya kwenda kwa binti

    Wewe uliyeweka huu ujumbe tunashindwa kukuelewa number ya airtel msg inasoma mpesa wapi na wapi bwana, kama unamchukia kapuya si uweke vitu vya uhakika humu, hapa unamuongezea utetezi bwana kapuya hata akipelekwa mahakamani
Back
Top Bottom