Wanawake watia aibu bunge la katiba

Wanawake watia aibu bunge la katiba

Wamenikera sana jana...najizuia ku comment kwanza nisije pewa ban pili nina hasira na mambo ya chalinze kwenyw kura ya maoni tatu wife hajapata mshahara mpaka leo na gesi imeisha home beki hazikabi kabisa...

Pole sana kigogo sasa sijui ni kigogo wa ccm au wa serikali.
 
Wamenikera sana jana...najizuia ku comment kwanza nisije pewa ban pili nina hasira na mambo ya chalinze kwenyw kura ya maoni tatu wife hajapata mshahara mpaka leo na gesi imeisha home beki hazikabi kabisa...

Pole mkuu, mi nakushauri ujiliwaze kwa kuangalia bunge la katiba maana ni comedy tosha, don't take it seriously kwa sababu hata wajumbe hawako serious, just enjoy the show!
 
mi nafikiri tusubirie kupata vituko zaidi kutoka huko bungeni.
 
Pole mkuu, mi nakushauri ujiliwaze kwa kuangalia bunge la katiba maana ni comedy tosha, don't take it seriously kwa sababu hata wajumbe hawako serious, just enjoy the show!
Point.katiba mpya haitakuwa na maana wala sitabiri hata kawaida tu waweza kuona ni zaidi ya uhuni na hapo ni mle ndani ambapo TV inaonesha sijui nje niaje.
 
Wale wanawake wanakera sana kama vile haitoshi walianza kuimba "tunataka haki yetu"! Wenje aliwajibu vizuri sana maana inaonyesha wamezoea kubebwa kila mahali bure kabisa. Bungeni wamepafanya kama sehemu ya kitchen party kupiga vigelegele na ushabiki wa hovyo! Wanakera sana
 
Ushabiki wa kihuni na kipuuzi tu.

Mwanamke jasiri hupambana...kwanini mtu upendelewe wakati huna sifa?

Kama una sifa basi utachaguliwa kihalali.
 
Hapa mwenye shida na huyo asha migiro anayetafuta kuungwa mkono na wanawake wenzake katika mbio zake za kuusaka urais akiamini ni wengi na wepesi kudanganyika na kuburuzwa! Kiukweli mantiki ya hoja yao siuoni zaidi ya kuzidi kututhitishia uwezo mdogo wallio nao pamoja na uelewa duni wa kwanini wapo pale. Hivi huyu aliyewateua anajisikiaje?
 
Mtu apewe nafasi kutegemea na uezo wake...nyingine ni blah..blah...
 
Am a WOMAN,but the whole thing of UPENDELEO sikubaliani nalo...lazma ujitokeze mwenyewe ugombee kama wanaume ukidhihirisha COMPETENCE YAKO...tutapendelewa hadi lini jamani... ila uuh uongozi mgumu jmn yataka moyoo
 
Wako wengi kupindukia utadhani kitchen party. Huyo Migiro anata uenyekiti kwa mlango wa nyuma.
 
Wako wengi kupindukia utadhani kitchen party. Huyo Migiro anata uenyekiti kwa mlango wa nyuma.

atauweza uenyekiti? Sio atashindwa kama alivyoshindwa kuleta amani somalia,drc congo na sudan na pia kenya kwa kipindi chake cha unaibu katibu mkuu wa UN? Au nafasi aliipata kwa upendeleo? Ifike mahali hizi mbeleko za kuwabeba wanawake lichakae!
 
Am a WOMAN,but the whole thing of UPENDELEO sikubaliani nalo...lazma ujitokeze mwenyewe ugombee kama wanaume ukidhihirisha COMPETENCE YAKO...tutapendelewa hadi lini jamani... ila uuh uongozi mgumu jmn yataka moyoo

kungekua na wamama 50 tu km ww..,bunge lingekua poa.,full focused kujadil hoja za msingi.Bt unfortunately weng ni midwedo,brek sifungi..wanachojua ni hak sawa kwa wote.Wanawake mnakera sn
 
acha kuwakashifu mama zetu bila wao wewe si ungetupwa chooni,mbona hausemi yule anayesema kiapo cha vikundi,

ha2jakataa.,tena 2nawapenda kulko ata baba ze2.,Ila kwa hoja zao bungen.,HAPANAA!
 
kungekua na wamama 50 tu km ww..,bunge lingekua poa.,full focused kujadil hoja za msingi.Bt unfortunately weng ni midwedo,brek sifungi..wanachojua ni hak sawa kwa wote.Wanawake mnakera sn
sio siri kwa maoni yangu viti maalumu au upendeleo havisaidii kivile..hata nchi za nje kwa female leaders nnaowajua kna hillary,condi,merkel nk it's not out of upendeleo bali walionyesha wanaweza wao bila kusukumwa
 
Wakale walisema wanawake wana majukumu matatu.
Watoto. yaani kuzalishwa na kulea watoto
Jikoni. yaani kuandaa misosi na usafi wa ndani
Kanisani. yaani wawe watiifu kwa waume zao na kumtumikia Mungu. Sasa leo hii wa TZ hizi kanuni tumezipindisha eti sasa spika ni mwanamke sijui jikoni kwake kukoje. eti mwanake ni mbunge au waziri. haiingii akiini. kama mnaona nakosea nitajie waziri wa kike tangu uhuru aliyefanya kazi yake kwa umahiri.

Kwa case ya Tanzania ni wachache km wapo, ila kwa nchi za wenzetu particularly Ulaya na Us wapo kwa sababu kule wanachagua mtu si kwa sababu ya gender bali competency, mifano michache ni Condoleze na Angela wa ujerumani
 
Am a WOMAN,but the whole thing of UPENDELEO sikubaliani nalo...lazma ujitokeze mwenyewe ugombee kama wanaume ukidhihirisha COMPETENCE YAKO...tutapendelewa hadi lini jamani... ila uuh uongozi mgumu jmn yataka moyoo

Nimeupenda msimamo wako, kungekuwa na kitufe cha "LOVE" ningebofya.
Wanawake wa kweli wala hawana shida na kugombea upendeleo, wanasimama na ku-compete! Hao wanaopiga kelele ni matubo yao tu ndiyo yanasokota, HAWANA LOLOTE!
 
Kiukweli mwanasheria mkuu wa Zanzibar aliconcude vizuri sana kikubwa bara na zanzibar kama wana uwezo wathubutu sio upendeleo
 
Back
Top Bottom