Habar wanajamvi,
Je, Kutengeneza gari ambayo haijatumika miaka takribani mitano. Kufix injini mpya na vipuri vingine ambavyo ni chakavu..HIYO GARI ITAKUA DURABLE?..haitasumbua kila siku matengenezo?
Gari ni range rover 4.6HSE..
Msaada kwa wataalam na wazoefu
Habar wana janvi.. Nimekosea wakati na instal whatsap na kufanya registration NIME SKIP BACKUP.. naweza pata skiped backup? İli niweze pata info na chat za nyuma?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.