kigogokizizi
Member
- Mar 26, 2016
- 69
- 37
Habar wana jamvi..natumia samsung tab 10.1 inch..nikiweka chip ya tigo vitu kama browsers,youtube siwez tumia "network error"...whatsap,jamii forum,instagram natumia..NATATUA VIPI TATIZO?
Shukran mkuuHta mimi nilikuw na tatzo kma lako lakin huyu psiteshio alilitatua jana tu hyo wasiliana nae 0753093869