Msaada wa ku-restore chats za Whatsapp

Msaada wa ku-restore chats za Whatsapp

kigogokizizi

Member
Joined
Mar 26, 2016
Posts
69
Reaction score
37
Habar wana janvi.. Nimekosea wakati na instal whatsap na kufanya registration NIME SKIP BACKUP.. naweza pata skiped backup? İli niweze pata info na chat za nyuma?
 
Mimi nakupa msaada wa kiakili tu za kujiongeza sio za kitaalamu.

Fanya ku uninstall hiyo whatsapp kisha pakua tena jisajili kwa namba yako sasa ikifikia tena ile step ya kurestore usi skip.
 
Angalia account uliyotumia ku back up je ndio iliyopo kwenye simu yako.
 
Basi hapo boss siwezi mimi kukusaidia ngoja wataalamu waje. Ukanjanja wangu umeshindwa kufanya kazi [emoji125]
 
Ulkua una backup kweny simu au kweny email?
Habar wana janvi.. Nimekosea wakati na instal whatsap na kufanya registration NIME SKIP BACKUP.. naweza pata skiped backup? İli niweze pata info na chat za nyuma?
 
Due to a new agreement between WhatsApp and Google, WhatsApp backups will no longer count against Google Drive storage quota. However, any WhatsApp backups that havce not been updated in more than a year will automatically be removed from storage.
This policy will go into effect for all users on November 12, 2018 though some users may see the quota benefits earlier. To avoid the loss of any backups, we recommend that people manually back up WhatsApp before November 12, 2018.
Recommended Actions
1. Confirm that your current Android WhatsApp client is backed up
2. If you would like to refresh any existing backups, please manually back up your WhatsApp client before October 30, 2018
The Google Drive team

uwe unasoma email zinazotumwa na google
 
Back
Top Bottom