Recent content by kigogo1ivi

  1. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Kodi za mabango si rariki kwa soko la ajira na uchumi.

    Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho. Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia mpaka sh10,000 Kwa squer feet 1. Nakumbuka makampuni mengi sana yalikuwa na utaratibu wa kuweka...
  2. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Samson Akaua Simba?

    Kila siku huwa nasema bible ni story km sitory nyingine za kutungwa
  3. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Leo tunafunga rasmi mjadala kwa Kukubaliana kuwa ni kweli kabisa Wanawake wote Kipaumbele chao kwa Wanaume ni Pesa na Maisha mazuri na siyo Mengineyo

    Kwani wanaume huwa tunafata nini kwa wanawake? Naomba unipe jibu kamili ili tufunge mjadala
  4. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Recap: Mrithi wa Rais Samia

    Sasa ikitokea CCM ikapitia wakati mgumu ki siasa na kupoteza mvuto kwa wananchi mtu ninaemuona hapo ni Makonda Kama hapatatokea mwingine
  5. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    Embrace the freedom of casual encounters on the best dating app in town! Verified Women Unsurpassed casual Dating
  6. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Endelea kuwa wife material huku ukichakaa. Wenzako tunakosa mpk nafasi ya kutunzia minoti

    Muuza k aliegeuza k yake bidhaa. Na itachakatwa mpaka itakuwa km mfuko wa mhindi uone km bado itakuwa na soko
  7. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Nimekumbwa na maradhi maeneo nyeti. Ushauri wa kitabibu unahitajika

    Papuchi huwa zimebeba mengi sana. Pole mku siku nyingine uwe unazikagua kwanza ikiwezekana unapiga chok na kunusa kidole ukikuta kinanuka achana nayo
  8. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Nyumba ile kiboko, niliambulia maji tu kwa siku 2 nilizokaa pale

    Kwahiyo umeamua kunipasua mwana
  9. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Nimejisababishia makengeza

    Hii kali ya mwaka
  10. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kula mpasuko maeneo hatarishi tupeane uzoefu

    Vile vijana mnaangamia. Hukuwaza kaswende, gonolea, ukimwi wala mimba. Tumia condom mzee
  11. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Jamani, jamani! Usiombe ukutane na hawa watu!

    Angalia isijekua wewe ndiyo mjuaji.
  12. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Nyie wapiga kelele ndiyo mnazidi kuchochea hili jambo, kwani mkilipuuza mtapungukiwa na nini? Wewe kama ni mzazi jitahidi kulea mwanao katika maadili ya kitanzania. Siyo kupiga kelele wakati hakuna hatua mnachukua katika ngazi ya familia.
  13. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Ili kufidia mabilioni yaliyopotea, Waziri Mwigulu ongeza Tozo Wazalendo tuko tayari kuchangia maendeleo ya Nchi na ya viongozi wetu.

    Sisi wananchi tunachoata kusikia kwa sasa. 1. Walio husika wamewajibishwa. 2. Warejeshe pesa zote na fidia juu. Sio kubebesha walala hoi mizigo isiyokuwa yao
  14. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania Nini husababisha watu kupata shoti kama ya umeme wanaposalimiana?

    Kuna uwezekano mkubwa moja kati yenu likuwa amegusa waya wa umeme au eneo alipokuwa palikua na unyevu nyevu ulipita kwenye njia ya umeme, kwaiyo mliposhikana mikono ndiyo umeme ukapata asi
Back
Top Bottom