Recent content by kighera lucas

  1. kighera lucas

    JamiiForums Tanzania Sitasoma tena gazeti la Mawio

    Kuhusu mambo ya EL kuingia upinzani vichwa vya kuelewa vimeshaelewa mataahira ndio yanataka eti maelezo kwanini kapokelewa! Na wala waelewa hawahitaji hayo maelezo ya kumsafisha. Aliyemsafi kwa hao CCM aongee umbea wake.
  2. kighera lucas

    JamiiForums Tanzania Unatakiwa utende wema kiasi gani ili uingie peponi?

    Wema wako hautakuingiza mbinguni na hakuna chema cha wewe mwanadamu utafanya ndio kiwe tiketi ya kuingia Mbinguni hii ni kwa mujibu wa Biblia.
  3. kighera lucas

    JamiiForums Tanzania Bima (Insurance) Kutozwa VAT 18% kuanzia tarehe 1/7/2015 imekaaje hii

    Issue sio kulipa kodi tu, tatizo ni matumizi ya hizo kodi, vyanzo vya makusanyo kama ya maduka tu ya kawaida mtaani ambayo yangewekewa utaratibu mzuri na kukusanya kiwango cha kidogo cha kodi kingekua na tija kuliko hiki kinachofanyika sasa.
  4. kighera lucas

    JamiiForums Tanzania Wahindi wanaonewa sana kuitwa Wahindi

    Na kwa bahati mbaya sana wao ndo wameshikilia uchumi wa TAnzania wanapoona uchaguzi unakaribia wanachukua Dola na shilingi yetu inanyong' onyea. Pia wanajijua sio Watanzania ndo mana hata hawatangazi nia.
  5. kighera lucas

    JamiiForums Tanzania Wanasheria ni janga la Dunia!

    Ukiwa unatoa hoja fikiria kama kichwa chako kinajitambua na ufikirie watu unaowasiliana nao (audience) kama huijui kaa kimya ulichokiandika hapo juu ni utumbo tu, ndo mana hata jamaa kauliza Tundu Lisu anaongiza nchi gani?
  6. kighera lucas

    JamiiForums Tanzania Kifurushi cha Whatsapp, Tigo wana njaa hakuna mfano!

    Ungekua smart zaidi ungekua na kampuni yako ya cm sio kusifia za wanaume wenzako.
  7. kighera lucas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    Tatizo lako na wewe uliwahi kuwa mzinzi manake kama isingejua nyuchi nyingine ungeona hiyo iko bomba mbaya! Shughulika na ulichonacho na tabia yake uliyoipenda ifunike habari ya uchi kwa Jina la Yesu.
  8. kighera lucas

    JamiiForums Tanzania VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

    Barafu tulizana acha wivu ndo matokeo hata kama huyapendi ndo yashakua. Uwezo wa kuzuia jua kwa kiganja haupo tulizana.
  9. kighera lucas

    JamiiForums Tanzania Kumbe ishu haikua Pengo bali ni Lowassa kuzindua Helikopta ya Gwajima!

    Alitukanwa Yesu! Na zaidi ya kumtukana wakamsaliti na kisha wakamuua, Si shabikii matusi bt kama Mungu anatukanwa binadamu si zaidi ya kutunwa, huyu naye eti ni mwislm lakini hawezi kumtukana Pengo umehalalisha kumtukana nani! ?
  10. kighera lucas

    JamiiForums Tanzania Audio: Askofu Gwajima aelezea mkasa wa kilichotokea

    Udini na udhehebu vimetawala na kashfa zinazotolewa ni sehemu tu ya vichwa vya wanajamii vinavyofikiri na kufanya kazi! Mungu awape hekima ya kunena!
  11. kighera lucas

    JamiiForums Tanzania Chagua jibu sahihi kuhusiana na katiba mpya

    Nadhani kupiga hapana au ndiyo ni utashi wa mtu na si kwa kuwa nani kaesma nini bali ww umeilewa vipi katiba! Hata hivyo binafsi kwa utashi wangu mizengwe ya bungeni najiuliza kwa nini nguvu kubwa ya kupitisha katiba ilitumika na hadi kupigisha kura wasiokuwepo bungeni, mauno yalivyokatwa...
  12. kighera lucas

    JamiiForums Tanzania Kauli ya maaskofu ipingwe na kila mzalendo wa nchi yetu!

    Kura: sikunda/hapana / no / hai / mayolo!
Back
Top Bottom