Wanasheria ni janga la Dunia!

Wanasheria ni janga la Dunia!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Kuongozwa na watu waliosomea Sheria ni janga kubwa!
Dunia nzima nchi zinazoongozwa na wanasheria zina matatizo ya Kiuchumi!
Hawa watu sijui Elimu yao huwa inawafundisha nini, hawana uwezo wa kutatua matatizo kabisa, wao ni bla blah tu lakin kwa bahati mbaya sana ndiyo wajipendekezaji wakubwa kwenye uongozi na Dunia kwa kiasi kikubwa inaongozwa na hawa hawa,ndio maana matatizo hayaishi!

Jaribu kuangalia nchi zote zinazoongozwa na Wanasayansi, Wahandisi au Wanahisabati zinafanya vizuri sana nafikiri imefika wakati na sisi tuachane na hawa watu kwani Elimu yao haiwafundishi kutatua matatizo zaidi ya blah blah tu na wizi kama Tundu Lisu!
 
Ukiwa unatoa hoja fikiria kama kichwa chako kinajitambua na ufikirie watu unaowasiliana nao (audience) kama huijui kaa kimya ulichokiandika hapo juu ni utumbo tu, ndo mana hata jamaa kauliza Tundu Lisu anaongiza nchi gani?
 
Kuongozwa na watu waliosomea Sheria ni janga kubwa!
Dunia nzima nchi zinazoongozwa na wanasheria zina matatizo ya Kiuchumi!
Hawa watu sijui Elimu yao huwa inawafundisha nini, hawana uwezo wa kutatua matatizo kabisa, wao ni bla blah tu lakin kwa bahati mbaya sana ndiyo wajipendekezaji wakubwa kwenye uongozi na Dunia kwa kiasi kikubwa inaongozwa na hawa hawa,ndio maana matatizo hayaishi!

Jaribu kuangalia nchi zote zinazoongozwa na Wanasayansi, Wahandisi au Wanahisabati zinafanya vizuri sana nafikiri imefika wakati na sisi tuachane na hawa watu kwani Elimu yao haiwafundishi kutatua matatizo zaidi ya blah blah tu na wizi kama Tundu Lisu!
Watu kama wewe ni JANGA LA TAIFA pia!
Pia nimeridhika kuwa Simbachawene ni kimeo!
 
Kesi ya Basil Pesambili Mramba inavyochukua miaka mitano kuamua ni mfano jinsi wanasheria walivyo janga la dunia Matatizo yetu ni Uhuru wa mahakama kuendesha kesi ya ufisadi mama kumi.
 
Daaa mleta mada hivi umetumia Akili gani kuyasema Haya. Marekani ni nchi yenye uchumi mzuri na imeimarika na Obama ni mwanasheria, unatuambia nn hapa?
 
Kesi ya Basil Pesambili Mramba inavyochukua miaka mitano kuamua ni mfano jinsi wanasheria walivyo janga la dunia Matatizo yetu ni Uhuru wa mahakama kuendesha kesi ya ufisadi mama kumi.[/Q
Unajua wananchi uwa mnafurahisha sana,juzi juzi tu hapa kesi ya sugu ya mtoto imeamliwa ndani ya siku mbili,watu hawakuacha kulalamika,ikaonekana ni kwa ajiri ya ubunge wake ndo maana,bado na hili la kina mramba mnalalamika,

Mbna mahakani kuna kesi nyingi tu zimekaa zaidi ya miaka mitano,inategemea na kesi yenyewe,ikoje.!mfno tu kesi ya papa msofe upelelezi tu ulichukua zaidi ya miaka mi tatu,unadhani kesi ingetumia mda gani.!?
 
Siku nyingine unapojenga hoja yako usimseme vibaya mwanasheria mkuu wa wananchi Tundu Antipasi Lissu hakuna atakaye kuunga mkono muulize Makinda jinsi lissu anavyodinda mbele yake
 
Mleta mada umekurupuka kama yule jamaa wa futuhi!
 
Rais akiwa mwanasheria magereza huwa yanaongezeka. Kwa hiyo uchumi unaku.....maana kunakuwa na ajira!
 
Kuongozwa na watu waliosomea Sheria ni janga kubwa!
Dunia nzima nchi zinazoongozwa na wanasheria zina matatizo ya Kiuchumi!
Hawa watu sijui Elimu yao huwa inawafundisha nini, hawana uwezo wa kutatua matatizo kabisa, wao ni bla blah tu lakin kwa bahati mbaya sana ndiyo wajipendekezaji wakubwa kwenye uongozi na Dunia kwa kiasi kikubwa inaongozwa na hawa hawa,ndio maana matatizo hayaishi!

Jaribu kuangalia nchi zote zinazoongozwa na Wanasayansi, Wahandisi au Wanahisabati zinafanya vizuri sana nafikiri imefika wakati na sisi tuachane na hawa watu kwani Elimu yao haiwafundishi kutatua matatizo zaidi ya blah blah tu na wizi kama Tundu Lisu!

hopeless
 
Hujui kupost tumia akili wew mtu nzima chefuuuuu nyoko babu wew kaogeeeeeeeeeeee
 
acha porojo na matuc dhidi yetu kijana...Law na uongozi vina uhusiano gani? km vp kakojoe ulale
 
Back
Top Bottom